EFD: Mgomo wa wafanyabiashara Mwanza kuunga wa Dsm

EFD: Mgomo wa wafanyabiashara Mwanza kuunga wa Dsm

Nikiwa kama mfanyakazi na mfanyabisashara, sio siri siitaki efd sababu nitashindwa kukwepa the unreasonable tax ambayo itakatwa. Kuna costs nyiiingi sana za kufanya biashara bongo, hii kodi usipoifanyia ujanja kidogo aisee itakua ngumu saaana kumake the necesary margins of profit.
 
Leo asubuhi hapa jijini kuna bonge la mgomo wa kutofungua maduka yote hapa mza na baadhi ya wafanya biashara wanadai kuwa watafunga kwa muda usio julikana. Hili ni janga jingine kwa utawala huu wa Mafisadi , sasa kwa mtindo huu je uchumi wa Taifa unakuwa......?

Dawa ya moto ni moto ,Mwigulu Mchemba(Naibu wa wizara ya fedha)litoa kauli ya ubabe sana kuhusu mashine kwetu sisi wafanyabiashara.
 
Leo asubuhi hapa jijini kuna bonge la mgomo wa kutofungua maduka yote hapa mza na baadhi ya wafanya biashara wanadai kuwa watafunga kwa muda usio julikana. Hili ni janga jingine kwa utawala huu wa Mafisadi , sasa kwa mtindo huu je uchumi wa Taifa unakuwa......?
Wewe ukishaona mtu anagoma kulipa Kodi tena kwa nguvu zake zote jua huyo lazima anamatatizo kwenye mfumo wa damu.Na hili jambo ni muendelezo wa siasa mpk kwenye uchumi.Kwanini mtu ukatae kulipa kodi?why why why why why.........?:suspicious::suspicious::suspicious::suspicious:
 
waache kutuzingua mfanyabiashara mwenye akili timamu hawezi kuacha kufungua duka eti hataki efd. tatizo la nchi hii ni wafanya biashara wengi shule hakuna wachache wenye shule wanaokwepa kodi wanawaburuza wengi wenye shule ndogo. ila kumbukeni historia ya luku huko south africa, nanyi efd mtatumia tu mnapoteza mda wenu na wateja.
 
we ni ofisa wa TRA nini? maana leo hutakusanya chochote....EFD inakusanya hela za kampeni za mwaka kesho. cheers wafanyabiashara!

Laiti ungejua mkuu!huu mgomo TRA wanaufurahia sana labda wachache tu ndio wanaweza kuwa umewaudhi!TRA watakosa ulaji hizi EFD zikitumika vilivyo!Kwa hiyo nao wanafurahia kichini chini na wangependa serikali isitishe matumizi ya hizi EFD.Ni bora wangeanzisha mgomo kutaka kujua kodi zao zinatumikaje kuliko kugomea mfumo mzuri wa kulipa kodi.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kuna elimu ya kutosha kuhusu EFD imetolewa? Au ni elimu ya mtaani tu? Huenda wafanyabiashara hawaelewi hili...wafanyabiashara wanaumia kuona kodi yenyewe haina inachofanya.
 
Kodi za Tanzania zikilipwa kikamilifu kabisa kama TRA wanavyotaka, biashara zote zitafungwa. Ni kodi za kinyonyaji. Wanaoendelea na biashara, wote kwa namna fulani ni lazima wanakwepa kulipa kodi maana ukilipa kikamilifu, kila mwezi utapata negative balance.

Wewe ukishaona mtu anagoma kulipa Kodi tena kwa nguvu zake zote jua huyo lazima anamatatizo kwenye mfumo wa damu.Na hili jambo ni muendelezo wa siasa mpk kwenye uchumi.Kwanini mtu ukatae kulipa kodi?why why why why why.........?:suspicious::suspicious::suspicious::suspicious:
 
Utakuwa maana watu watakuwa wananunua vitu vya local badala ya made in China

Mbeya ilishaanza toka jana , 10/ 2/ maduka yote maeneo ya sido ambako ndiko kuna biashara nyingi maduka hayakufunguliwa.

ngoja nilale kwanza
nchi ngumu hii

Mgomo huu inasemekana ni kutaka Kikwete atamke kuhusu hizo mashine za EFD. Na kwa kibuli alicho nacho anaenda Uk kujibu kwanini Kinana anaua Tembo wakati ni katibu mkuu wa chama cha mafisadi.

Nawaunga mkono

ni kwel mza kuna mgomo sijui mikoa mingine kama kgm,tbr n.k 2juzuzen

Wagome tu

kwanza hongera sana kwa ushindi wa kishindo wa chopper 3 kwa kata 3..punguza jazba na kajeli za kitoto ukiwa mwenye akili timamu na kijana au mzee mwenye busara swala kama hili la wafanya biashara kugoma ilatakiwa kila mtanzania na mpokea huduma kutoka kwa hawa wafanyabiashara kulaani vikali kwa uwenda wazimu wanao kutufanyia sisi walaji na tumoiaji wa huduma wanazo toa,sijui kama wewe nikati ya hawa kundi la wezi na walanguzi wa pesa za watanzania..hawa wafanya biashara ni haki yao kununua na kuwa na hizo machine ili walipe kodi inayo stahili..wakati mwingine tuache ushabiki usio natija na kujifanya niwazalendo kumbe ni unafiki umetujaa mioyoni,tusimame na tutetee maslahi ya taifa

kuna tangazo la biashara la TRA..unapogomea kulipa kodi unasogeza matatizo mbele ili uje uumie baadae.Let us wait and c

yaani nataka waendelee kugoma na serikali nayo isikubaliane nao tuone nani zaidi,the same people wakiwa nje ya nchi (kufuata mzingo) hupewa receipts kwa kutumia mashine hizi hizi how comes wao wakatae kutumia? Hawa jamaa I swear si wazalendo after all hio kodi hawalipi wao ni mzigo wa walaji/wanunuzi sasa wao wanaogopa nini? u mbumbu tu. Ila kwa issue ya bei za mashine somehow nawaunga mkono japo nayo si hoja kwa maana hizo hele zinakuwa refunded, mbona mashine/mita ya LUKU ama ya maji tunanunua na wala hatulalamiki? Nadhani serikali ufute lesseni zao kieleweke na TRA ifute TIN namba zao tuone,
 
pia Morogoro mjini kuna mgomo wa wafanya biashara

Kugoma sio vema kwani matokeo yake yanamuumiza mtu wa kawaida. Ni vema kukaa mezani na kuzungumza na kupata maafikiano bila ya mgomo na maandamano.

Sasa mkigoma wananchi pamoja na wabunge wa katiba watakula wapi?
 
Mtu gani wa kawaida anaumia? wakati nafaka na vyakula vimejaa sokoni?hawa wafanyabiashara ni mbumbu tu
Kugoma sio vema kwani matokeo yake yanamuumiza mtu wa kawaida. Ni vema kukaa mezani na kuzungumza na kupata maafikiano bila ya mgomo na maandamano.

Sasa mkigoma wananchi pamoja na wabunge wa katiba watakula wapi?
 
Bila shaka hata mabenki nayo yatasitisha riba ya mikopo yao kwa kipindi hiki cha mgomo. Ingekuwa ni hivi kwa wafanyakazi...
 
Hata huku Makambako hakuna duka lilofunguliwa.
 
Kodi za Tanzania zikilipwa kikamilifu kabisa kama TRA wanavyotaka, biashara zote zitafungwa. Ni kodi za kinyonyaji. Wanaoendelea na biashara, wote kwa namna fulani ni lazima wanakwepa kulipa kodi maana ukilipa kikamilifu, kila mwezi utapata negative balance.
Kwa hiyo kodi zifutwe kabisa sababu hata ulaya tunasikia ukikwepa kodi ushaliwa kichwa hapa uonevu kulipa kodi.
 
Mgomo huu inasemekana ni kutaka Kikwete atamke kuhusu hizo mashine za EFD. Na kwa kibuli alicho nacho anaenda Uk kujibu kwanini Kinana anaua Tembo wakati ni katibu mkuu wa chama cha mafisadi.
Watu mna maneno nyie, yaani nimecheka sana kwa hu uzi wako mkuu!
 
kwanza hongera sana kwa ushindi wa kishindo wa chopper 3 kwa kata 3..punguza jazba na kajeli za kitoto ukiwa mwenye akili timamu na kijana au mzee mwenye busara swala kama hili la wafanya biashara kugoma ilatakiwa kila mtanzania na mpokea huduma kutoka kwa hawa wafanyabiashara kulaani vikali kwa uwenda wazimu wanao kutufanyia sisi walaji na tumoiaji wa huduma wanazo toa,sijui kama wewe nikati ya hawa kundi la wezi na walanguzi wa pesa za watanzania..hawa wafanya biashara ni haki yao kununua na kuwa na hizo machine ili walipe kodi inayo stahili..wakati mwingine tuache ushabiki usio natija na kujifanya niwazalendo kumbe ni unafiki umetujaa mioyoni,tusimame na tutetee maslahi ya taifa

kamata 5 mkuu
 
yaani wafanyakazi ndo wanatabu kwny hii nchi, wao wanakatwa lkn wapo tu

kodi zenyewe zinaishia mifukoni mwa mafisadi shida tupu
 
Serikali hili janga sio la wafanyabiashara tu bali ni kwa taifa lote. Tunaomba lipatiwe suluhu. Na kodi hii si kwa mfanyabiashara tu bali ni kwa mnunuaji na muuza duka.
Mfano; bidhaa ya thamani 30000, kodi yake ni 4500 ndio VAT . Bado hapo mwisho wa mwaka kuna profit igawanwe. Bandarini majanga. Mitaani majanga. Ushuru umepanda kila umsikiae analia . tutafika kweli.
 
Uzuri wa migomo hii huoni mtu akifunga barabara, akichoma tairi barabarani wala kuandamana ni kimya kimya kama vile kuna vifo mijini. Sio kama migomo ya Machinga, Wanafunzi na Wakulima/Wafugaji kwa hiyo mi nawapa hongera sana wafanyabiashara. Na nina hakika Budget ya serkali ya mwaka huu ni lazima kikwete alalamiko huko anakoendaga kila kukicha.
 
Back
Top Bottom