Sanoyet
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 1,323
- 295
mpaka muda huu hakuna hata duka 1 lililofunguliwa,kisa ni mashine za EFD,machinga,mama ntilie,fundi cherehani na soko wote wamegoma,huduma hakuna,mabucha tu ndo yako wazi.
SWALI:hivi hii serikali sikivu imeshachukua hatua gani toka Watanzania waanze kulalamikia huu unyonyaji na ujambazi ulioandaliwa na CCM ili yapate pesa za kuhonga wananchi ktk kampeni zijazo?
source:i'm there!