Mgomo wa wafanyabiashara Mwanza: Maduka yafungwa kupinga mashine za TRA!

Nyamwaga

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
455
0
Mliokwisha fika mjini tupeni taarifa kuhusu mgomo wa kutofungua maduka, je upo? na ni kweli hakuna aliye fungua duka?

==========
Yanayojiri:

Nakaribia town ntakujuza mkuu..

wafanyabiashara wameitikia wito,hakuna duka hata moja lilofunguliwa hata baadhi ya machinga hawajapanga vitu!

Nimepita maeneo ya LIBERT napo maduka hayajafunguliwa kabisa.

Mgomo umekolea, cha ajabu ni kuwa hata Soko Kuu Mwanza wamegoma wanadai kuwaunga mkono wenzao wa madukani...

Mi nataka mchicha EFD inanihusu vipi jamani. Hii serikali ya CCM mbona inatutesa Sana wananchi wake?

mkuu wa mkoa wa mwanza alishaandikiwa barua mara mbili yeye akawa anajibu kwa kupiga simu anatoa udhuru tu.
leo tunamsubiria hapa standa ya tanganyika anadai atakuja saa nane

kilichonishangaza soko kuu mwanza toka nimelifahamu halijawahi kufungwa hata alipokufa Nyerere halikufungwa ila leo soku kuu limefungwa!

IGOMA,NATIONAL,BUZURUGA kote yamefungwa
aliyejeuri ni SH AMON tu pale kwenye mataa na amepewa onyo kali na wafanyabiashara
 
MT KILIMANJARO

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
4,217
1,225
Mliokwisha fika mjini tupeni taarifa kuhusu mgomo wa kutofungua maduka, je upo? na ni kweli hakuna aliye fungua duka?

Umeoteshwa usiku au? Niko hapa mkuyuni ndio naelekea town ngoja nikifika nitakujulisha we endelea kulala unaweza kuota ndoto nyingine tena.
 
Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,061
2,000
wafanyabiashara wameitikia wito,hakuna duka hata moja lilofunguliwa hata baadhi ya machinga hawajapanga vitu!
 
Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
8,403
2,000
Mgomo umekolea, cha ajabu ni kuwa hata Soko Kuu Mwanza wamegoma wanadai kuwaunga mkono wenzao wa madukani...

Mi nataka mchicha EFD inanihusu vipi jamani. Hii serikali ya CCM mbona inatutesa Sana wananchi wake?
 
Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,061
2,000
mkuu wa mkoa wa mwanza alishaandikiwa barua mara mbili yeye akawa anajibu kwa kupiga simu anatoa udhuru tu.
leo tunamsubiria hapa standa ya tanganyika anadai atakuja saa nane
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,615
2,000
mkuu wa mkoa wa mwanza alishaandikiwa barua mara mbili yeye akawa anajibu kwa kupiga simu anatoa udhuru tu.
leo tunamsubiria hapa standa ya tanganyika anadai atakuja saa nane

canter moja ya mawe inatosha kum-mabina huyo kyenge.
 
Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,061
2,000
kilichonishangaza soko kuu mwanza toka nimelifahamu halijawahi kufungwa hata alipokufa Nyerere halikufungwa ila leo soku kuu limefungwa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom