Eeh Mungu kwa tabia hii ya wanaume kutembea na vichaa tuadhibiwe zaidi

Ninandika huku nina majonzi mazito nyoyoni kutokana na tabia ambayo tunayo sisi wanamume. Mwanaume ni kiongozi katika familia na jamii zetu hakuna mwenye kupinga katika hili. Lakini kwa tabia hizi tunazoziendeleza zinatuweka katika daraja la chini kabisa.

Ijumaa karimu bandugu. Kuna haka katabia ambako kameenea katika maeneo mbalimbali katika mikoa yetu. Najua umewahi kuona vichaa hawa wa jinsia ya kike wakiwa na ujauzito.

Inasikitisha sana kuona mwanamke asiye na utimamu wa akili (kichaa) akiingiliwa kimwili hadi kuwa mjamzito bila ridhaa yake. Tena kuna baadhi yao wamezaa hadi watoto watatu na zaidi wakiwa katika ukichaa huo. Yaani inafika kipindi wengine wanachomwa sindano za kuzuia mimba.

Wanaofanya tabià si wengine ila sisi wanamume, tumekumbwa na nini sisi mbona kuna wanawake wengi tu.
Hii tabia ni ya kukemewa sana.
Sio vichaa wote unaowaona wana mimba bac wamepewa mimba na wanaume timamu,wengine wamepigwa mzigo na vichaa wenzao usiku au vijana wakubwa machokoraa wasio na mahali sahihi pa kulala,wanalala kwenye makalavati ya barabarani na huko ndio wanakutana na vichaa na kuonea maugwadu yao,Mara nyingine wakikosa vichaa wanalawiti watt wadogo machokoraa wenzao,maana hana mahali pa kumwagia nyege zake unless apige punyeto,hakuna msichana mwenye akili zake atakae kubali kutembea nae labda amvizie usiku kichochoroni ambake,...japo pia kuna baadhi ya wanaume timamu kabisa wanawatinduaga vichaa,Ila ni wachache sana.
 
Mkuu hata vichaa wenyewe huwa wanapigana mabao! Mwaka mmoja hivi nikiwa Morogoro, vichaa me na ke wakakutana kwenye kidaraja pale karibu na round about ya Masika, ghafla tukaona wanaangushana na kupigana mbupu pale. Walipomaliza wakakimbilia kwenye kijito kujimwagia maji. Sasa hapo kichaa ke hawezi kubeba mimba?
Nami nilishuhudia hili sokoni pale, nimeshahu tu majina ya hawa vichaa walikuwa maarufu sana.
 
Kuna kichaa kitaani kwetu aliwahi kuzalishwa Mara 3 na wanaume tofauti,huwa najiuliza akili za wanaume zipoje? Ilihali wengi tunakiri ya kwamba wanaume vichaa hupotezewa na hawa Dada zetu,ila wadada vichaa hutunikiwa mshedede.
 
Kuna kichaa kitaani kwetu aliwahi kuzalishwa Mara 3 na wanaume tofauti,huwa najiuliza akili za wanaume zipoje? Ilihali wengi tunakiri ya kwamba wanaume vichaa hupotezewa na hawa Dada zetu,ila wadada vichaa hutunikiwa mshedede.

Mkuu binadamu wakiwa na nyege nyingi wanaweza kufanya vitu vya ajabu sana.
 
Mamlaka husika ziweke utaratibu kila mkoa, wilaya au vijiji kuwalinda hawa ndugu zetu vichaa hasa kwa kuwachukua kuwaweka kwenye kambi maalum ili walelewe na hata kupewa matibabu.

Wapo vichaa wengine wametelekezwa tu lakini wanaweza kupewa huduma wakapona, wengine sio vichaa bali msongo wa mawazo utokanao na mapenzi, ugomvi wa kifamilia, ugumu wa maisha nk aina hii wanahitaji tu ushauri nasaha..
 
Hakika ni jambo baya sana kubaka(si kufanya mapenzi maana hiyari hakuna hapo) na mwanamke mwenye ulemavu wa akili. Kama ni jambo jema kwanini mwanaume hajitokezi hadharani na ijulikane kua ana date na mlemavu wa akili?! Ni kitendo cha aibu na ukatili pia

Jamani hivi vichaa ni:-
1. Walemavu wa akili, au
2. Wagonjwa wa akili, au
3. Waliopungukiwa akili, au
4. Waliokosa akili?
 
Genye zikizidi unakuwa kichaa....na ukiwafata wenye akili zao timamu uchumi unaleta shida....sipati picha ile uko juu ya papuchi ya kichaa mara wananzengo hao???!
 
Na yule kichaa pia nae alishatangulia mbele za haki. Si pale ilipokuwa ShopRite zamani
Kwa uzito huohuo inakuaje mlemavu wa akili mwanaume anapobaka dada/mke/binti au ndugu yako?
Kuna kisa maarufu sana kilitokea katika moja ya mikoa ya kaskazini mwa nchi yetu. Kichaa(au jina la staha mlemavu wa akili) mmoja alimbaka mpaka akamaliza tena hadharani mwanamke aliekua ameinama.Yule mama aliishia kujiua baada ya kupata usononi(depression) ya hali ya juu. Watu walioishi mkoani humo kwa muda mrefu watakua wanakijua kisa hiki.
Sio jambo zuri kungonoka na wanawake walio na changamoto za akili kama ambavyo hatupendi wanawake wetu wafanyiwe hivo na watu hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom