Eeh Mungu kwa tabia hii ya wanaume kutembea na vichaa tuadhibiwe zaidi

Hata kama wana haki ya kuzaa huoni kama mnawapa mzigo mkubwa yy kutunza hao watoto katika hatari??? Mvua yake jua lake na mtoto jamani hebu acheni
Hizo shida zinasababishwa na mambo kadhaa. Mosi, kitengo cha usitawi wa jamii hakitimizi majukumu yake. pili, jamii yetu haina utaratibu wa kutoa sadaka kwa vituo vya kulea watoto yatima na waishio mazingira magumu. Tatu, jamii kutokutambua haki za walemavu.
 
Wanaozalisha wanatunza? Watoto wanazaliwa wanaishi mazingira ya hatari sana.
Wengi wao wanapewa mimba na vichaa wenzao. Hata wale temporary insane wanaowatafuna hawawezi kuwa na uhakika kama mimba ni zao. Maelezo zaidi soma post #25.
 
Utasemaje wana haki ya kuzaa ilihali hawawezi kubeba majukumu ya kulea kiumbe kinachozaliwa?With rights comes responsibility.

Kama wanaowapa mimba wanafanya hivyo kwa kisingizio cha kuwaepushia unyanyapaa basi watakuwa ni watu waelewa sana. Walee na hao watoto wanaozaliwa

Kuzaa ni haki za kimaumbile, ila matunzo kwa mtoto ni haki / makujukumu ya kijamii.
 
Hakika ni jambo baya sana kubaka(si kufanya mapenzi maana hiyari hakuna hapo) na mwanamke mwenye ulemavu wa akili. Kama ni jambo jema kwanini mwanaume hajitokezi hadharani na ijulikane kua ana date na mlemavu wa akili?! Ni kitendo cha aibu na ukatili pia
 
Je ni sawa na haki mwanaume mwenye akili timamu kumtia mimba kichaa na kuacha watoto wakizagaa kuishi maisha hatarishi? (Siamini wanapewa mimba na vichaa wenzao).

Kuzaa ni haki za kimaumbile, ila matunzo kwa mtoto ni haki / makujukumu ya kijamii.
 
Kwa uzito huohuo inakuaje mlemavu wa akili mwanaume anapobaka dada/mke/binti au ndugu yako?
Kuna kisa maarufu sana kilitokea katika moja ya mikoa ya kaskazini mwa nchi yetu. Kichaa(au jina la staha mlemavu wa akili) mmoja alimbaka mpaka akamaliza tena hadharani mwanamke aliekua ameinama.Yule mama aliishia kujiua baada ya kupata usononi(depression) ya hali ya juu. Watu walioishi mkoani humo kwa muda mrefu watakua wanakijua kisa hiki.
Sio jambo zuri kungonoka na wanawake walio na changamoto za akili kama ambavyo hatupendi wanawake wetu wafanyiwe hivo na watu hao
 
Je ni sawa na haki mwanaume mwenye akili timamu kumtia mimba kichaa na kuacha watoto wakizagaa kuishi maisha hatarishi? (Siamini wanapewa mimba na vichaa wenzao).
Hujawahi sikia wnaume wanatelekeza familia zao licha ya wake zao kuwa na akili timamu?Hata hivyo, kosa hilo lina adhabu yake kisheria. Ugumu wa kuwaadhibu waliowazalisha na kuwatelekeza vichaa hao ni kuwapata hao watuhumiwa ili kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.
 
Kwa uzito huohuo inakuaje mlemavu wa akili mwanaume anapobaka dada/mke/binti au ndugu yako?
Kuna kisa maarufu sana kilitokea katika moja ya mikoa ya kaskazini mwa nchi yetu. Kichaa(au jina la staha mlemavu wa akili) mmoja alimbaka mpaka akamaliza tena hadharani mwanamke aliekua ameinama.Yule mama aliishia kujiua baada ya kupata usononi(depression) ya hali ya juu. Watu walioishi mkoani humo kwa muda mrefu watakua wanakijua kisa hiki.
Sio jambo zuri kungonoka na wanawake walio na changamoto za akili kama ambavyo hatupendi wanawake wetu wafanyiwe hivo na watu hao
Bahati nzuri umesema kilichomua siyo kubakwa bali kukosekana kwa huduma za ushauri. Angepatiwa huduma muafaka huyo mtu asingejidhuru. Tena huenda sasa angekuwa mtetezi mkubwa wa haki za wagonjwa wa akili. Watu wanaingiliwa na mbwa ila hawajiuwi iweje yeye afe?
 
Kuna mmoja alikua Mwanza, ni bubu halafu pia ana tatizo la akili, ikifika jioni wanaume na akili zao timamu wanaanza kumnyapia nyapia, mara ya mwisho kumuona alikua mjamzito
Kuna mmoja alikuwa ana figure na kuvaa kwake kama hiyo avatar yako. Mzee mmoja naye fyatu fyatu hivi, alivuta akamfanya mke na kumzalisha. Ila ndugu zao walikuwa wanachukua watoto na kuwalea. Ni kama walizaa watoto wawili.
 
Back
Top Bottom