Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 24,040
- 71,281
Hapana Rey, hapa sizungumzii habari za UDINI.Watajua wenyewe wanaolea malezi hayo Ila wapo ambao wanalelewa kidini bado machoko pia maana haya mambo hayanaga formula!
Hapa nazungumzia UANAUME au UANAMKE.
Kuna tabia za Kimalezi zinaathiri sana ukuaji wa kijinsia wa mtoto !!!.
Moja Wapo. ni malezi ya Singo mama, Singo mama anampenda mnoo mtoto wake kiasi kwamba ANAJISAHAU MPAKA KULEA.
Hawa mnaowaita Mashoga, ni kizazi cha 1998+ ......