Eee Mwenyezi Mungu utusamehe na kuturehemu

Watajua wenyewe wanaolea malezi hayo Ila wapo ambao wanalelewa kidini bado machoko pia maana haya mambo hayanaga formula!
Hapana Rey, hapa sizungumzii habari za UDINI.

Hapa nazungumzia UANAUME au UANAMKE.
Kuna tabia za Kimalezi zinaathiri sana ukuaji wa kijinsia wa mtoto !!!.



Moja Wapo. ni malezi ya Singo mama, Singo mama anampenda mnoo mtoto wake kiasi kwamba ANAJISAHAU MPAKA KULEA.


Hawa mnaowaita Mashoga, ni kizazi cha 1998+ ......
 
Kwa sasa mtoto wa Kiume anapaswa kulindwa kuliko wa kike....!!!wazazi tuwe sana karibu na watoto..vijana sana tamaa sana Siku hizi nafikiri ugumu wa maisha na kupenda shortcut..Siku hizi hawadeal na drugs tena wanadeal na kuliwa jicho...maana powder wanaogopa jela ila kutoa tundu ni we mwenyewe tu na mwili wako
mbavu cna lol.
 
Ni vema ukamuomba Mungu wako akupe hekima na fikra njema kabla ya kumuomba atatue shida za wengine.

Nakwambia tena umasikini na maaradhi vimekulemea ni vizuri upoteze muda kupambana navyo kuliko kupambana na yasiyokuhusu unless ushoga umekuingilia ndani mwenu.
Khaaaah
 
Ukiona dafu limeliwa, ujue yupo aliyelichokoa...

Hizi mambo za kichoko zinatiwa kasi kwa kiasi kikubwa na wanaume wenyewe, kwa sababu kuna mabasha wanaowachokoa hao machoko...
mbavu zangu mie, uwiiiiih
 
Unaishi Mwenyewe....

Una mtoto wako wakiume.....

Et wakat mwingine unalala naye kitandani...

Unamkumbatiaaa.... Unamuita Junior.....


Mtoto unamdekezaaaaaaa ......


Saaingine unamleta Anko....

Anko...anakutiaaaa.......unaliaaaa ,mtoto anasikiaaa vilioooooo.....


Kesho yake anaenda shulee....


ASIPOKUA SHOGA, NJOOO UNISEMEE.
Uongo mtupu huu, sio kila shoga katoka au kapitia mtindo wa maisha haya,
Na pia mtoto wa kiume anaweza pitia hayo maisha na asiwe shoga kabisaa.
 
Hapana Rey, hapa sizungumzii habari za UDINI.

Hapa nazungumzia UANAUME au UANAMKE.
Kuna tabia za Kimalezi zinaathiri sana ukuaji wa kijinsia wa mtoto !!!.



Moja Wapo. ni malezi ya Singo mama, Singo mama anampenda mnoo mtoto wake kiasi kwamba ANAJISAHAU MPAKA KULEA.


Hawa mnaowaita Mashoga, ni kizazi cha 1998+ ......
Yaani chief kuna nondo umegusia hapa juu ya malezi naona kabisa kuna ukweli....hasa hao single mama wanao lea watoto wa kiume.
 
Back
Top Bottom