ee bwana ee kwa hali hii usinywe tena

ee bwana ee kwa hali hii usinywe tena

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
1.jpg2.jpg4.jpg3.jpg
 
ulevi noooomaaa!!

Save water drink beer.....Bora mimi hua nalalaga juu ya meza hapo hapo bar sitoki..,teh teh
BTW nimeipenda username yako ameline besti...
 
Last edited by a moderator:
Walikuwa wanagombania tuzo ya anayeweza kubwia cret la nondo, hawa wote wameniacha namalizia yangu ya mwisho nipate changu. Sijui nitamaliza au na mimi nitafikia kwenye hali kama hii
 
Karucee naona unajikumbushia enzi za Pemba!!!
 
Last edited by a moderator:
ukilewa hulewi bali hata akili inakosa ufahamu unaweza fanywa ile mbaya hutaisahau milele
 
Acheni hizo raha za kupinga mitungi ni kuzima.
 
Picha ya mwisho jamaa ana kitambi kikubwa kama meza ya kamari.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sasa huyo mwene Bycle pembeni ataweza kuendesha huyo... Bongo hapo kuna mambo ma3 lazima ufanyiwe.. Mnayajua
 
Back
Top Bottom