Kuna mtu anasoma html sasa hivi

Kuna mtu anasoma html sasa hivi

Joined
Nov 20, 2026
Posts
33
Reaction score
12
Ni kama movie ya kutisha. Kuna watu wanasoma html au Microsoft Word asa hivi.

Na Hivi Chatgpt na Gemini ni Ai - au ni chatbot tu, tusubiri kama miaka 2 tu,

Mana kuna movie nimetoka kuicheki imenitisha zaidi. Inaitwa World Of War 2005 -

Ee bwana hii sio muvi, ila economist walikua wanatumbia watakachoenda kukifanya. Kuhusu alien na Ai ,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom