Edwin Mtei aliposikitishwa na Tundu Lissu kumtusi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

Huwezi mfananisha lissu na dictator Nyerere au Mtei , lissu sio zero brain kama Mbowe na mtei na Nyerere.

Hii constitution ya 1977 ni wazi kuwa Nyerere alikuwa zero brain kama bashite na Mbowe.

Hakuna Uhuru aliopgania After second world war Tanganyika was under trusteeship of UNO.

UNO ndo wametupa Uhuru sio huyu muhuni wa ccm na Asp na Tanu.

Tundu Lissu 2020-2025 for president.
 
Binafsi sijawahi kumwelewa kiviile mzee wetu Nyerere,Kuna maamuzi mengi ya kiboya aliyafanya na kuficha ukweli,hakuwa muwazi na alikuwa mbinafsi Sana,aliona yeye ndo Yuko sahihi tu na watanzania wote no maboya.Ni Kama kagame anavyoiongoza Rwanda
Chukua fomu mkuu
 
Unazungumziaje kipengele cha ubunge/udiwani kupingika,uraisi kutokupingika(ambacho kiliwekwa wakati wake)?
Tatizo kubwa katika Taifa la watu masikini si siasa , tatizo ni vitu kama umasikini, magonjwa na elimi.
Mwalimu aliyatatua haya kwa ufanisi mkubwa kulingana na mitaji aliyokuwa nayo.
Hata ukiwa rais wa nchi masikini, nawe ni masikini tu.
 
Huwezi mfananisha lissu na dictator Nyerere au Mtei , lissu sio zero brain kama Mbowe na mtei na Nyerere.

Hii constitution ya 1977 ni wazi kuwa Nyerere alikuwa zero brain kama bashite na Mbowe.

Hakuna Uhuru aliopgania After second world war Tanganyika was under trusteeship of UNO.

UNO ndo wametupa Uhuru sio huyu muhuni wa ccm na Asp na Tanu.

Tundu Lissu 2020-2025 for president.
Unavyo andika ni sawasawa na mtoto wa chekechea, hata hujui ulichoandika.
 
Nyerere is overrated. Kwa umasikini huu wa kutupwa. Kuipeleka nchi vitani (akimpigania Obote arudi madarakani baada ya kupinduliwa Na IDD Amini). Nyerere alitengeneza kuogopeka na viongozi wa chini. Wakampamba .

Hint: katiba ya 1977

Udiwani,unapingika kortini
Ubunge,unapingika

Uraisi,hapana. Akitangazwa,imeisha hiyo.
Yeye alikuwa raisi. If you know you know

Miaka 35 baada ya yeye kuondoka mmeshindwa hata kubadili hiyo katiba yake?! You must be insane.
 
Ebwana eh kwahiyo mpo hapa kusema Nyerere ni overrated. Na reference yenu ni kisa urais haupingwi mahakamani.

Huyu mtu alisuffer coup attempts, mbili. He survived them. Kuhakikisha hayo hayajirudii ikatungwa hiyo sheria. Na nyingine nyingine.

Hivi ni dikteta gani anatoa second chance kwa waliotaka kumpindua? Tena kesi inaenda kushughulikiwa mahakamani, na mmoja wao mpaka kuna barabara ina jina lake. Idi Amin, Gnassingbe, Kagame, Bongo, Papa Doc, Ceausescu na wengine waliwafanya nini hata waliowahisi kua wanataka kuwapindua?

Baada ya Nyerere ni rais gani mwingine kwa hapa Tz baada yake unafikiri atakufa huku hajamaliza deni la nyumba yake? Ambaye itabidi rais atakayefuata amfanyie renovation ya nyumba yake?

Mmoja hapo juu anasema alituingiza vitani kisa Obote arudi madarakani. Hiyo haijawahi kua sababu, Amin alivamia Kagera. Kagera ni Tz, a nigga just broke into our country na mlitarajia afanye nini? Akapige magoti? Akamuimbie wimbo hadi Amin achoke aiachie Kagera?

Kutokana na yeye ndiyo elimu ilisambazwa kwa wote unlike wamisionari ambao kwa elimu ilikua kimkakati. Leo unakutana na Profesa kutoka Lindi na kitabu alipiga enzi za Nyerere kwa gharama za serikali.

Magufuli alisema Lisu anatumika (logically) kwenye lile sakata la makinikia, ulimsikia Lisu akipinga? Now Tz is getting paid na alichosema Lisu cha Miga and other shit is nowhere near happening.

Kuna watu wanaishi kwa kukaririshwa. Education is out there, jisomee, siyo kitu kakukarirish mpuuzi mmoja tu na wewe unang'ang'ania hicho hicho.
 
Tusiishi katika ukomo wa kifikira kuendana na historia ya nchi yetu. Ndiyo! Mwl. Nyerere ni Muasisi na Baba wa Taifa letu, na alikuwa kiongozi mashuhuri kwa wakati wake, ambaye alilitetea sana utu wa watu nchini, barani Afrika na ulimwenguni kwa ujumla.

Lakini hiyo siyo sababu ya kumfanya akose wakosoaji wa misimamo yake. Kama binadamu awaye yeyote yule, alikuwa na madhaifu yake. Na jambo hili linathibitika kupitia kauli yake mwenyewe kabla mauti hayamkuta. Alikuwa "remorseful" kwa baadhi ya maamuzi yake kama kiongozi, hasa kwa yale yaliyoleta matokeo hasi.

Kwa hiyo Tundu Lissu naye ni kiongozi mwenye sifa zake ktk taifa lake. Na pia mwenye maono yake ya kulipeleka taifa letu ktk "next frontier" kupitia mapungufu ya kihistoria ambayo anaamini kwa dhati yalitokana na Baba wa Taifa. Tuzipime "constructive criticisms" zake. Wala tusizibeze kwa kauli za jumla jumla tu.

Tuje na hoja mujarabu hapa jukwaani na kuainisha wapi amekosea. Sio hoja za juu za kutumiwa na mabeberu. Kama hizo "claims" ni za kweli, wakosoaji wa TL waainishe ni lini, wapi na kwa vipi anahusika.
Hakuna mahali nimesema Lissu ametumwa na mabeberu!
Tundu Lissu is on record kumtusi Mwalimu, a very tall figure as far as Tanzanian politics is concerned.
Na Lissu lazima astrive to out do Mwalimu katika thinking na kwa vitendo.
Sijona Manifesto yoyote ambayo Tundu Lissu amewahi kuitoa as far as the common man is concerned.
Tundu Lissu is an Activist, a reactionary!

Na ndio maana hata wazee wenye busara kama Mzee Mtei, mwanzilishi wa CDM, aliji diistance na matusi ya Lissu.
Kuongoza nchi si maneno makali mtu aliyo nayo, busara na vision ni vitu ambavyo clearly Lissu hana.
 
Back
Top Bottom