Edward Ngoyai Lowassa alishiriki vita vya Kagera

Edward Ngoyai Lowassa alishiriki vita vya Kagera

Kumbe Lowasa ni Luteni. Huyu ndio kamanda wa ukweli! Mkuu wa maelezo tafadhali tueleze pia nafasi ya magufuli kwenye vita hivi vya kagera. Ama ni yeye ndie aliyejenga daraja pale Mutukula!

Lowassa aliondoka jeshini akiwa na cheo cha kapten
 
Pokea Salute kwa heshima zote Lt Col Nyaborogo.

Acha Makongoro alewe siasa za maji taka maana sisi tukiwa vijana wa TANU tuliapa kuwa nikasema kweli daima fitina kwangu mwiko, lakini mwenzetu siku hizi kubadili Kauli na kuwa kinyume chake.
 
Nani alikwambia JK alishiriki vita vya Kagera ingawa alikuwa mjeshi?unajua JK aliondokaje jeshini Monduli?Unataka jeshi litupe taarifa za ushiriki wa Lowassa ktk vita ilhali limeshindwa kutoa taarifa ni wapi alipokuwepo mkuu wake baada ya kumaliza ziara ya kikazi!
wewe labda ni dogo fulani. watu wanajuana..nani alikwenda vitani nani hakwenda vitani. nani alirudi vitani nani alipoteza maisha vitani. tunajuana..haikua siri. mashujaa walipokewa kitaifa kimkoa hadi vijijini. nishani zilitolewa. huyo mtu wenu aonyeshe picha nishani etc.
 
Hakuwa kwenye kundi la wale waliojongo wakati wa vita?
 
Kuna mleta taarifa aliwahi kusema televisheni za Uganda zinamuonyesha Sana lowassa kuliko mgombea mungine katika kampeni sasa naanza kuona connection.
 
Kuna mafisad na mafisadi. Huyo jamaa noma. Mafisad wenzake wote wana nywea kwake. Anapiga madili kijeshi jeshi
 
Mambo yanayo muangusha ni haya hapa (baadhi) : ufisadi. Hataki au hawez kujisafisha. Itakuwa hawez maana anavyo utaman urais angesha jisafishaga tokea zaman. Siamin kama ni jeuri tu ya kikwao. Afya. Kuumwa si kufa na wala si dhambi. Lakin tuna matatizo mengi sana hatuwezi kumpa uongozi wa juu mtu ambaye hata Mtoto anamwona kuwa yu mgonjwa. Tutakuwa hatuko serious na maisha yetu na mustakabali wa nchi nzima. Ukawa hawajajipanga. Wataishia kurushana na kumalizana wakishashika dola. Akina Mbowe ndio wa kugawana kwa haki madaraka /mafweza na watu wengine? Thubutu! Na wala hawajui wakisimamiacho! Juzi tu hapa walikuwa wana mpinga lowasa. Mara ghafla wanaona anafaa. Tamaa za ikulu. Hawana mpango wowote wa kutatua matatizo ya nchi hii.
 
EL awe luteni na wala asiitumie ilo title acheni masihala jamani.
 
Salute and respect sir edward lowasa
😀😁😀🙌💘✌👏🌼🍀🚠🚡👆
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom