kweli kabisa na ninaamini kuwa JK na Lowasa wata compromise kama kweli kuna tofauti kati yao, japo binafsi naona wanayofanya ni mbinu yao ili waonekane hawapatani mbele ya jamii lakini akili ni mkichwa.
Kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii waangalie wahasimu Karume Jr na Komando, unafahamu Karume alimfanya nini Komando? Fuatilia, lakini mambo yalienda kimya kimya kifo cha kondoo na wala siyo ya mbuzi kama wa bara