Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread



Mwaka 2005, Mhe Kikwete wa CCM alipata zaidi ya 80% ya kura zote na hivyo kuonesha namna gani wananchi walivyokuwa na kiu na imani kubwa kwa Kikwete binafsi na hata CCM kwa ujumla.

Miaka mitano (05) baadaye Mhe Kikwete aliporomoka kwa karibu 20% na hivyo kuambulia kura 5,276,827 sasa na 61.17% ya kura zote.
Mkuu kama ninakumbuka vizuri mahesabu basi Kikwete aliporoma kwa asilimia 23.6
Kwanini nasema asilimia 23.6? Kwa sababu 2005 alipata 80%, baadaye 2015 akapata 61.17%, hapo kukiwa na tofauti ya 18.9%. Sasa chukua 18.9% gawanya kwa 80% ya 2005 halafu zidisha na 100 utapata 23.6%. Kwa hiyo kura za Kikwete mwaka 2010 zilipungua kwa zaidi ya 23.6%.
 
keep calm.png



July.jpg
 

Attachments

  • keep.png
    keep.png
    4.1 KB · Views: 821
Hiyo analysis ysko ni kituko. Umeanza kwa kuonyesha percentage alizoingia nazo Kikwete, ukaenda mpaka ziliposhuka. Hujaonyesha za upinzani zinapoelekea, umexiacha kama zilivyo ukarukia kwa Lowasa hutaka kuelezea kuimarika kwa nguvu ya upinzani baada ya kufanikiwa kukaa meza moja na kukubaliana kuunganisha nguvu, au kuelezea changamoto na anguko la upinzani kama itatokea wakavurugana kabla ya uchaguzi.

Umeacha kwa makusudi kugusia chimbuko la nguvu na ushawishi wa Lowasa. Huyaoni hayo au hutaki kuyagusia lakini unataka kutuaminisha kuwa wewe ni mchambuzi!
Siku nyingine usipenge makamasi mbele za watu wanapokula.
 
Mkuu kama ninakumbuka vizuri mahesabu basi Kikwete aliporoma kwa asilimia 23.6
Kwanini nasema asilimia 23.6? Kwa sababu 2005 alipata 80%, baadaye 2015 akapata 61.17%, hapo kukiwa na tofauti ya 18.9%. Sasa chukua 18.9% gawanya kwa 80% ya 2005 halafu zidisha na 100 utapata 23.6%. Kwa hiyo kura za Kikwete mwaka 2010 zilipungua kwa zaidi ya 23.6%.

Ni kweli Ozzie. Nashukuru kwa kuweka rekodi sawa
 
Ata mapenz hayapo hivi hii ninjas tena tuki iendeleza Haifa hili tutakuwa mbulula Kafka vzaz vjavyo.
 
Hatuwezi kulikabidhi taifa hili kwenye Mikono ya mtu anaesukumwa na kupewa nguvu na Matajiri. Hatuwezi kabidhi taifa hili kwenye Mikono ya Mafisadi.
 
Habari za ndani zinasema, Lowasa na Kikwete walishakorofishana kabla ya skendo ya Richmond. Na skendo ilipotokea ikawa ahueni kwa Jk kumtema kirahisi. Jamaa alijisahau kuwa ni mtumishi wa umma na kuendelea na madudu yake katika biashara chafu kwa ubia na wafanyabiashara wakubwa wasiolipa kodi. Na watu wengi wakiwemo usalama wa taifa walimlalamikia Kikwete kuwa jamaa ana-misbehave na kuendekeza tamaa zake za kujilimbikizia mali kifisadi. Mbali na hayo Lowasa alishaanza kusuka njama za kumwondoa Kikwete madarakani baada ya miaka 5 ya mwanzo. Kwa mtaji huu piga ua Lowasa jina lake lazima likatwe tu.
 
eti yoyiye atakae Fanya fujo mtamshughulikia,..my foot ,who are you,mmekuwa police nyie,au mtatumia mamlaka yapi kumshughulikia,kumbe lowasa anajeshi lake eeehh!!?? huyu mzee fisadi atakifikisha taifa hili pabaya kwa taamaa zake za urais.
 
hayo ma t-shirt yenu pelekeni chooni mkafanyie kazi huko,
 
Back
Top Bottom