Edward Lowassa special thread

watu wajinga kweli. Wagombea wako 41, na wanataka watano, sasa hao vijana nini kinawasukuma kuwa lazima awe tano bora? ina maana wengine hawahitajiki kuwa hapo zaidi ya yeye? Akili za viroba bhana. But poa tu, sisi t ipounapeta ngoja muumizane

Tunachojua ni kwamba ukweli ndiyo huo na sisi vijana wengine yupo Iringa na sehemu nyingine za nchi huu ndiyo uwamuzi wetu vijana. Tupeni chaguo letu la siyo basi tusilaumiane mbele ya safari. Tuonaomba tutendewe haki tukashindwe kwenye kura!
 

hongereni vijana/

hongereni sana/
 
Mkuu,
Kwa CCM ya sasa, anything is possible!

Anaweza asikatwe na akateuliwa na kupelekwa mpaka kwenye Mkutano Mkuu na hata kufikia kuteuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi.

Hapa ndio penye ukweli japo mchungu kuumeza,huyu jamaa tangu CCMwashindwe kumvua Gamba back then,sasa hivi kina Nape wasingekuwa wanahangaika kurusha vijembe vya "hasafishiki kwa dodoki".But hii come back yake from kuanguka 2008 na sasa ndio kinara anaiyumbisha CCM,tujiandae tu kisaikolojia.
 
Mkuu,
Una uhakika gani na angalizo lako?

Wapambe wa Lowasa wamekwisha jihakikishia ushindi na hivi sasa wanaandaa sherehe hapa Dodoma!! Hivyo matokeo yo yote kinyume na matarajio yao yatawachefua na hiyo kuleta sintofahamu katika mkutano mkuu!!!

Kumbuka kuwa wapambe wa Lowasa ni pamoja na vigogo wa chama!!! Baadhi ya mawaziri, wabunge, wenyeviti wa mikoa na wilaya nk!!!
 
Ameshindwa hata kuwapa mwongozo wamasai jinsi ya kuendeleza utajiri wao wa ng'ombe na kuwaacha wanazurur mapori yote Tanzania nzima. Watoto wa kimasai hawaendi shule leo anatudanganya ataboresha elimu ipi anayoijua? kweli nyani haoni kundule
 
Mwenye nguvu acha aitwe power.. Ata ukikataa utamuita kwa vitendo.. Lowassa atoa magari ya kusafirisha abiria kwa nusu bei Dar - Mwanza baada ya sh 50000.. Ukiwahi la Lowassa ni sh 25000.
Individual power!! uliona wapi taifa la namna hiyo? Haya ni mawazo ya kimaskini anayowateka nayo. Get out of the box.
 
Mwenye nguvu acha aitwe power.. Ata ukikataa utamuita kwa vitendo.. Lowassa atoa magari ya kusafirisha abiria kwa nusu bei Dar - Mwanza baada ya sh 50000.. Ukiwahi la Lowassa ni sh 25000.

Je, jambo ili linamsaidiaje asikatwe jina? Kwani hao abiria ni wajumbe au ndugu na marafiki wa karibu na wajumbe wa mikutano ya CCM? Je, nini yeye au washindani wenzake ndio wanaomchafua?
 
Lowasa ni Jembe wa MAJEMBE ndo mana majembe wanamkubali...endeleen kupanda magari yake na huo umaskini mtabaki nao ye akizid kutusua
 
Kama kuna ukweli wowote kwenye habari...Hakuna shida yeyote maana atakuwa ana saidia ,kutoka MWANZA KWENDA DAR,ingikuwa kutoka MWANZA kwenda DODOMA,Au Dar KWENDA DODOMA ningekuwa na wasiwasi wa kisiasa....

HEBU TUTAJIE HAYO MAGARI YA LOWASSA YANA ITWAJE,,nipo mwanza ila sijawahi kuona LOWASSA COACH,aU LOWASSA EXPRESS,naenda DAR ijumaa nitapata unafuu,,nisaidie ni save 25,000..
 
Wanajukwaa!!!
Macho na masikio ya watanzania walio wengi yameelekezwa Dodoma ambapo CCM, Chama kikubwa na kikongwe kabisa hapa nchini na Afrika kwa ujumla kipo katika mchakato wa kumpata mtu wa kupeperusha bendera katika kumrithi Mhe Jakaya Kikwete.

Chambuzi nyingi za siasa kuelekea Magogoni 2015 zimekuwa zikiangaza nani atapitishwa na Chama, uimara wake na udhaifu wake.

Wapo wanaochambua kwa mapenzi, chuki, kutokujua na wengine kwa utaalamu wa hali ya juu.

Mimi kama mchambuzi wa siasa hesabu zangu zinanielekeza kuwa Mhe Edward Lowassa ana nafasi kubwa ya kuibuka mshindi akiwa ndani ya CCM na hata akiwa nje ya CCM.

Matokeo ya uchambuzi wangu hadi kufikia hitimisho kuwa Lowassa ana nafasi kubwa ni baada ya tafakuri ya kina ya mwenendo wa kisiasa tangu mwaka 2005 hadi sasa.

Mwaka 2005, Mhe Kikwete wa CCM alipata zaidi ya 80% ya kura zote na hivyo kuonesha namna gani wananchi walivyokuwa na kiu na imani kubwa kwa Kikwete binafsi na hata CCM kwa ujumla.

Miaka mitano (05) baadaye Mhe Kikwete aliporomoka kwa karibu 20% na hivyo kuambulia kura 5,276,827 sasa na 61.17% ya kura zote. Wapinzani kwa upande wao tunaona Chadema walipata kura 2,271,941; CUF kura 695,667 na NCCR kura 26,388 (hawa ndio UKAWA)

Sasa, tuangalie hesabu za Sayansi ya Siasa vipi zinambeba Lowassa ikiwa atakatwa jina lake na kuamua kuhamia katika mwamvuli wa UKAWA na wenye UKAWA wakampokea??

Kwanza, wakati wakiwa katika zoezi la kutafuta wadhamini Lowassa alijipatia jumla ya wadhamini 874,297 ambao tunaamini kuwa wapo tayari kumpigia kura popote atakapokuwa. Na iwapo kila mdhamini atashawishi watu watatu (03) ni kwamba Lowassa atakuwa na mtaji wa watu 2,532,891.

Sasa (wadhamini x 3)+(mtaji wa UKAWA 2010) =Kura kibindoni

2,532,297 + 2,993,996 = 5,526,293

Kwa hiyo, kama ataingia na mtaji huo katika uchaguzi mkuu atakuwa amebakiza kazi ndogo tu ya kushawishi undecided group na kwa kuzingatia kundi kubwa la vijana ambao hawakuweza kupiga kura 2010 kutokana na kuwa na umri chini ya miaka 18, ambao hakuna ubishi kuwa wengi ni wafuasi wa vyama vya upinzani na hivyo watampa kura mgombea wa Upinzani, ni dhahiri kuwa Lowassa ana nafasi kubwa ya kushinda ikiwa atagombea kupitia CCM au atapitia Muungano wa UKAWA.

Hizo ni hesabu zangu nikiwa mchambuzi huru.
 
Angalia hesabu hizi

[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Kigezo [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Jaji Agustino Ramadhani [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Edward Ngoyayi Lowassa [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Umri [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Miaka 70 [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] 62 [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Elimu [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Ni ya juu ngazi ya shahada ya sheria [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Elimu ya juu ngazi ya shahada [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Uzoefu wa kazi [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Amebobea kwenye mhimili wa dola upande wa mahakama [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Amebobea kwenye mhimili wa dola upande wa serikali na bunge [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Uadirifu [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Hakuna mashaka yoyote kuhusu uadirifu wake [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Kuna mashaka mengi sana kuhusu suala la uadirifu [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Kazi alizofanya [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Jaji, mwanajeshi, mchungaji [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Kichunga ng`ombe, katibu wa chama, mkurugenzi IACC, mbunge, waziri, waziri mkuu. [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Historia kazini [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Amefanya kazi serikalini hadi amestaafu kwa mjibu wa sheria [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Alijihudhuru uwaziri mkuu kwa tuhuma ya kuipa tenda ya kufua umeme na kuiuzia Tanesco kampuni ya richmond ambayo haikuwa na sifa [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Kugombea urais [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Hajawahi kugombea labda hii itakuwa ni mala ya kwanza [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Aligombea mwaka 1995 jina lilikatwa kwa kukosa sifa [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Hali ya kugombea urais iliyopo hivi sasa [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Ameombwa agombee tena ameombwa sana [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Alianza mda mrefu kuonyesha nia ya kugombea urais, kuna mashaka mengi anahonga, ananunua makundi ili yamuunge mkono [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Afya [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Afya yake ni imala sana [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Afya ni mgogoro mala nyingi huenda Ugermani kupima afya, mala kadhaa huwa na kitetemeshi hasa asubuhi, hana uwezo wa kuhimili mikikimikiki kwa mda mrefu [/h] [/TD]
[h=1] [/h]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…