Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Sina uhakika ni nani anaweza kuyazuia LOL!!.........
 
Attachments

  • 1435732027811.jpg
    1435732027811.jpg
    91 KB · Views: 123
Ngoja wambwage ndo atajua mafuriko bongo sio ishu kila siku watu wanacheza madimbwini
 
Wa kwanza kusombwa na hayo mafuriko atakuwa yeye mwenyewe!
 
Jamani katika zoezi lolote la ushindani ni kawaida na ni akili kwa washiriki wote kuonyesha umaarufu na ubora wao kwa mbinu/njia zozote halali. Kitendo cha Lowasa kupata wadhamini wengi na mapokezi makubwa kuliko wenzake ni kielelezo tosha kwamba yeye ni front runner kama kweli Tanzania tunaamini katika utawala wakidemokrasi. Wamarekani hufanya hivyo katika mchujo wa primaires. Kumbe wengine mlitakaje? Tumpate Rais kwa kupiga ramli au tufuate maelekezo ya watu 20 kama tawala za kikomunisti na kupuuza chaguo la malaki na mamilioni?

quantity is not quality!!
Sometimes kama hatutakuwa makini ni heri kuheshimu maamuz ya wachache logical & ya busara kuliko ya kishabiki ya weeeeeengi lkn yakatugharimu baadae!!
The point is siyo IDADI but UWEZO/SIFA STAHIKI!!

Enough is Enough, Don't expect democracy to heal your society, there are gangs inside who take its advantage to make their business behind there bro!!!
 
Watu wameanza nae 'mchukia umaskini' wakati wa huzuni, Majonzi, Upweke wamevuka salama sasa wanakaribia kufika Ufukweni ndo unataka kuleta Ubaharia wako wa kuleta kujipendekeza,Endelea na Mgombea wako huyo Mchukia umaskini nafasi zote za Upambe zimeisha

Teh teh teh teh teh jamani mbavu zangu mieeeeeeeee!!!!!
 
Akiongea bungeni juu ya tukio la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kumtaka katibu wa bunge amtumie tiketi mbunge wa viti maalum ili aende DUBAI alaponde nae raha, na kusitisha ziara aliyokwenda kiserikali nchini Uingereza, Mwigulu Mchemba alisema;

"Hivi mimi nina mkosi gani jamani........"

hapo kwenye ........... alisema tukio zima lilivyofanyika. Pamoja na kukiri kuwa lalamiko lake Bw. Mwigulu lilikuwa la kisiasa zaidi, still uhalisia unabaki pale pale kuwa watanzania tumekuwa na bahati mbaya sana kuwa kwenye nchi ambayo watu wanapindisha ukweli makusudi kwa manufaa yao binafsi.

leo watu wengi akiwemo MAKO, wanadai kuwa wadhamini anaowapata EL ni baada ya kuwapa fedha ili wamdhamini. hapa ndipo unapokuja ule msemo maarufu wa "KUNYATA ANYATE KINYONGA, AKINYATA KICHECHE, ANANYEMELEA KUKU"

Pamoja na wapinzani wa EL kukiri kuwa "Mwakyembe" ni mnafiki baada ya kutetea muundo wa serikali mbili kwenye katiba mpya ili hali thesis yake ya PhD ali-recommend 3 kwa hoja za msingi, still wanajidai hamnazo juu ya hukumu ya kamati teule ya bunge dhidi ya EL.

Ikumbukwe kamati teule ya bunge chini ya uenyekiti wa "Mwakyembe" uliacha kumuhoji EL wa cheap judgement kuwa "Tuliona tungemuhoji, angeharibu ushahidi"

Miaka 8 baada ya tukio lile bado maadui wa EL wanahaha kuuaminisha umma kuwa EL anahonga ili kupata wadhamini. Wagombea zaidi ya 35 wamezunguka kutafuta wadhamini na kuwapata, watu hawalalamiki lakini kwa EL tu ndo wanabwabwaja

na hapa ndipo tusioshabikia siasa na badala yake reality tunapoamua kuu-edit msemo wa kunyata kinyonga na kuku kuwa;

"WADHAMINI APATE "MAKO", AKIPATA "EL" KAWAHONGA"
 
Kumbe sikukosea, ni wewe ulipita pale Oldonyo Sambu juzi ulikuwa umetilia suruali nyeusi na shati la Yanga ? Uongo mwaya ulitokelezea. Mlikuwa mnaenda wapi kule?

Ha ha........tulikuwa tunaelekea Longido kuhamasisha.............
 
Akiongea bungeni juu ya tukio la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kumtaka katibu wa bunge amtumie tiketi mbunge wa viti maalum ili aende DUBAI alaponde nae raha, na kusitisha ziara aliyokwenda kiserikali nchini Uingereza, Mwigulu Mchemba alisema;

"Hivi mimi nina mkosi gani jamani........"

hapo kwenye ........... alisema tukio zima lilivyofanyika. Pamoja na kukiri kuwa lalamiko lake Bw. Mwigulu lilikuwa la kisiasa zaidi, still uhalisia unabaki pale pale kuwa watanzania tumekuwa na bahati mbaya sana kuwa kwenye nchi ambayo watu wanapindisha ukweli makusudi kwa manufaa yao binafsi.

leo watu wengi akiwemo MAKO, wanadai kuwa wadhamini anaowapata EL ni baada ya kuwapa fedha ili wamdhamini. hapa ndipo unapokuja ule msemo maarufu wa "KUNYATA ANYATE KINYONGA, AKINYATA KICHECHE, ANANYEMELEA KUKU"

Pamoja na wapinzani wa EL kukiri kuwa "Mwakyembe" ni mnafiki baada ya kutetea muundo wa serikali mbili kwenye katiba mpya ili hali thesis yake ya PhD ali-recommend 3 kwa hoja za msingi, still wanajidai hamnazo juu ya hukumu ya kamati teule ya bunge dhidi ya EL.

Ikumbukwe kamati teule ya bunge chini ya uenyekiti wa "Mwakyembe" uliacha kumuhoji EL wa cheap judgement kuwa "Tuliona tungemuhoji, angeharibu ushahidi"

Miaka 8 baada ya tukio lile bado maadui wa EL wanahaha kuuaminisha umma kuwa EL anahonga ili kupata wadhamini. Wagombea zaidi ya 35 wamezunguka kutafuta wadhamini na kuwapata, watu hawalalamiki lakini kwa EL tu ndo wanabwabwaja

na hapa ndipo tusioshabikia siasa na badala yake reality tunapoamua kuu-edit msemo wa kunyata kinyonga na kuku kuwa;

"WADHAMINI APATE "MAKO", AKIPATA "EL" KAWAHONGA"

nafikiri kichwani kwako hakuko sawa maana unachotetea kwa lowasa sijui ni nini subili atakupa ukuu wa wilaya
 
nenda katulie uandike upya maana msimamo wako haueleweki ,mara watu wengi,mara mwakyembe,mara mwiguli ,hatukuelewi unachotaka kutujuza ni nini?
 
Back
Top Bottom