nafikiri kichwani kwako hakuko sawa maana unachotetea kwa lowasa sijui ni nini subili atakupa ukuu wa wilaya
Akiongea bungeni juu ya tukio la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kumtaka katibu wa bunge amtumie tiketi mbunge wa viti maalum ili aende DUBAI alaponde nae raha, na kusitisha ziara aliyokwenda kiserikali nchini Uingereza, Mwigulu Mchemba alisema;
"Hivi mimi nina mkosi gani jamani........"
hapo kwenye ........... alisema tukio zima lilivyofanyika. Pamoja na kukiri kuwa lalamiko lake Bw. Mwigulu lilikuwa la kisiasa zaidi, still uhalisia unabaki pale pale kuwa watanzania tumekuwa na bahati mbaya sana kuwa kwenye nchi ambayo watu wanapindisha ukweli makusudi kwa manufaa yao binafsi.
leo watu wengi akiwemo MAKO, wanadai kuwa wadhamini anaowapata EL ni baada ya kuwapa fedha ili wamdhamini. hapa ndipo unapokuja ule msemo maarufu wa "KUNYATA ANYATE KINYONGA, AKINYATA KICHECHE, ANANYEMELEA KUKU"
Pamoja na wapinzani wa EL kukiri kuwa "Mwakyembe" ni mnafiki baada ya kutetea muundo wa serikali mbili kwenye katiba mpya ili hali thesis yake ya PhD ali-recommend 3 kwa hoja za msingi, still wanajidai hamnazo juu ya hukumu ya kamati teule ya bunge dhidi ya EL.
Ikumbukwe kamati teule ya bunge chini ya uenyekiti wa "Mwakyembe" uliacha kumuhoji EL wa cheap judgement kuwa "Tuliona tungemuhoji, angeharibu ushahidi"
Miaka 8 baada ya tukio lile bado maadui wa EL wanahaha kuuaminisha umma kuwa EL anahonga ili kupata wadhamini. Wagombea zaidi ya 35 wamezunguka kutafuta wadhamini na kuwapata, watu hawalalamiki lakini kwa EL tu ndo wanabwabwaja
na hapa ndipo tusioshabikia siasa na badala yake reality tunapoamua kuu-edit msemo wa kunyata kinyonga na kuku kuwa;
"WADHAMINI APATE "MAKO", AKIPATA "EL" KAWAHONGA"
kamalizie dozinafikiri kichwani kwako hakuko sawa maana unachotetea kwa lowasa sijui ni nini subili atakupa ukuu wa wilaya
Edward Ngoyai Lowassa namfananisha na John F Kennedy maana hakuna Rais wa Marekani aliekuwa anapendwa na Wamarekani kama John Kennedy, hata Obama haoni ndani. Lowassa anapendwa na Watanzania mwenyewe anapenda kusema mahaba
Haya maji na bora myataje in full
mtaanza kutukana tu mwishowe
Mkuu nilikujibu swali lako LA 5 bora ila naona Uzi ule umenyofolewa,ni hawa
1:Mzee Augustino Ramadhani-uzanzibari/ukristo
2:Mizengo Pinda- u current pm
3😀r.Malecela - uanamke wake
4:Steve Wassira - kumsaidia mteule kwa kura zake NEC,wassira ndio mjumbe Wa NEC alieongoza kwa kura kitaifa kwenye kundi LA kifo LA viti 20 bara alilolikacha lowassa na kwenda kubanana na vitoto Kwenye ujumbe Wa NEC kuwakilisha wilaya!
5:Januari makamba- nae pia ataingizwa ili kumsaidia mteule kwenye nec kutokana na tofauti na wengi tunavyomchukulia januari ana mtandao mpana NEC na hasa general assembly uliotengenezwa na babaake alipokua katibu mkuu ccm ndio mana haikushangaza januari ambae was a new one ccm kuthubutu kugombea u NEC taifa kupitia kwenye kapu LA viti 20 vya bara kundi LA kifo na kufanikiwa kupata kiti kimoja Kati ya 20 tena kwa kushika nafasi ya pili kwa kura nyuma ya wassira na mbele ya membe.
Member haiingii tano bora but chances ni kwamba atakua mgombea mwenza Wa mteule that is the reason hagombei tena ubunge!

CCM wakimpitisha Jaji Ramadhani, Dr. Migiro atafanywa mgombea mwenza kama sio PM!. Dr. Mwele atapewa ubunge wa kuteuliwa na kupewa wizara ya Afya!. Membe ataachiwa kwenda kushughulikia hoteli yake na viwanda vyake!, Mtoto wa Mkulima, atarudia jembe lake na asali yake!.Mkuu nilikujibu swali lako LA 5 bora ila naona Uzi ule umenyofolewa,ni hawa
1:Mzee Augustino Ramadhani-uzanzibari/ukristo
2:Mizengo Pinda- u current pm
3😀r.Malecela - uanamke wake
Member haiingii tano bora but chances ni kwamba atakua mgombea mwenza Wa mteule that is the reason hagombei tena ubunge!
Elimu ya Edward Lowassa
Lowassa alipata shahada yake ya sanaa na elimu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na Shahada ya uzamili ya Maendeleo ya jamii kutoka Chuo Kikuu cha Bath kilichopo UK.
Elimu yake ya sekondari alipata kutoka shule ya Ilboru moja ya shule maalum kwa ajili ya wanafunzi wenye vipaji maalum darasani wakati huo; na kumalizia elimu yake ya kidato cha 5 na 6 kutoka shule ya sekondari Milambo mwaka 1977. Lowassa anapozungumzia maendeleo anajua anachozungumzia, habahatishi.
.
CCM wakimpitisha Jaji Ramadhani, Dr. Migiro atafanywa mgombea mwenza kama sio PM!. Dr. Mwele atapewa ubunge wa kuteuliwa na kupewa wizara ya Afya!. Membe ataachiwa kwenda kushughulikia hoteli yake na viwanda vyake!, Mtoto wa Mkulima, atarudia jembe lake na asali yake!.
Hayo yatafanyika only if 'mtu wa watu' akikatwa na akakubali kukatika!, mpango mzima ni asikatwe, na akikatwa asikubali kukatika bali naye akate, tumuingize ikulu mtu wetu!.
Pasco