Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Kwa pesa tu akiri yenu huwa inaparalaizi na ndo maana unafikia kumsujudia binadamu mwenzio kama Mungu ..kuku nyie, kama amnaona mnampenda si mkamwambie aje aoe kwenu?
 
Waliwezaje kutenda haki kwa wengine ambao hawakuwa chaguo lao wakati wa kusaka wadhamini?

Pesa ni zaidi ya shetani. Kuna mgombea kwa sasa ni Dini na watu wanamwabudu kama Mungu .
 
Mafuriko hayazuiwi kwa mikono. kama ni rushwa mahakama na vyombo vya sheriua vipo, nendeni mkashtaki. Hata wewe unapenda pesa, ukipewa si lazima umpende aliyekupa
 
Mafuriko ya maji kwenye kisoda hayamuumizi hata sisimizi, hafai huyu fisadi. Kishaanza kuweweseka kwa kusoma alama za nyakati. Pesa yake watatafuna na Ikulu ataiona kwa mbali.

Mafuriko hayazuiwi kwa mikono. kama ni rushwa mahakama na vyombo vya sheriua vipo, nendeni mkashtaki. Hata wewe unapenda pesa, ukipewa si lazima umpende aliyekupa
 
Mafuriko hayazuiwi kwa mikono. kama ni rushwa mahakama na vyombo vya sheriua vipo, nendeni mkashtaki. Hata wewe unapenda pesa, ukipewa si lazima umpende aliyekupa

Mahakama zipi ambazo zimewahi mshitaki na kumtia hatiani fisadi katika nji hii?

Fisadi la rada joka la makengeza badala ya kupelekwa jela kapewa jukumu la kuandika katiba na uenyekiti wa kamati ya bunge.

Kwa kujua hili kuwa mafisadi hawapelekwi mahakamani Bali wadokozi na vibaka ndo maana fisadi papa anadai Mwenye ushahidi apeleke mahakamani.
Mbakaji Kapuya hakukamatwa,hakuhojiwa wala kufunguliwa mashtaka licha ya kumbaka binti chini ya miaka 18 na kumtishia maisha,lakini Babu Seya na familia yake wao jela maisha.

Mwambie atapelekwa mahakamani wakiingia waadilifu madarakani
 
Kambi yake tayari imepiga kambi hapa Dodoma. Kusubiri vikao vya maamuzi hasa Kamati Kuu. Wapo wanakambi wanaokaa nyumbani kwa Lowassa hapa Dodoma na wale waliopangiwa nyumba za kulala wageni. Lowassa anausubiri moshi mweupe ufukizwe toka White House,hasa na Kamati Kuu.

Anajua kuwa akichomoza tano bora atachomoza pengine na hata kuwa mteule. Anajua kuwa akijadiliwa na kupitishwa na CC,atajigamba kufaa na kusonga mbele. Ameweka kambi akingoja moshi mweupe ufuke. Wanakambi wanakula na kunywa wakingoja kwa haja.

Kamati Kuu inakutana kuanzia kesho kuamua kama anakatwa au hakatwi. Kufukiza moshi mweusi au mweupe. Tusubiri! Dodoma inarindima.

Mzee Tupatupa (kwasasa Dodoma)
 
tahadhari zote zimezingatiwa...kwa riport na taarifa zilizopo kama haki itazingatiwa basi hawezi kupita hata kwa dawa...ushauri umetolewa na wameelezwa athari zake endapo '' atakuwa''...taarifa zote nne pamojana na file lake toka anakotibiwa likieleza matatizo yake na mengine wamekabidhiwa wahusika na wao watayafikisha kunakohusika...

ajiandae kuyapokea matokeo labda mwenyekiti wao apindishe makusudi maamuzi na kanuni
 
Lowassa ni kiongozi shupavu,imara,asiyeyumbishwa,mwenye nguvu na hekima kubwa,anatosha.
 
...."kuamua kama anakatwa ama hakatwi"?... wasipomkata Lowassa inabidi na wengine nao wasikatwe kwasababu kama ni kutokidhi vigezo Lowassa anaongoza zaidi ya watia nia wote waliorudisha fomu zao 38, simuoni mtu aliyevunja kanuni kumpita Lowassa mpaka sasa achia mbali tuhuma zile za ufisafi
 
Wakuu
Mi si mpenzi wa siasa,
Lakini naomba niseme japo kidogo,lakini kiukweli lowassa anatishaa,Nimekuwa nafuatilia siasa hapa na pale lakini nimeona kila anayegombea adui yake namba moja ni lowassa!Najiuliza kwanni bila kupata jibu,imefika mahali hata vikao vya ccm vimekuwa vikiaahirishwa mara kwa mara kuepuka mafuriko ya huyu mh ikumbukwe kuwa si kawaida ya chama cha mapinduzi mpaka muda na mwezi kama huu hawajapata mgombea,lakini ukichunguza siyo kana kwamba wamekusudia lakini kiukweli nikwamba wanajaribu kukwepa jina lowassa.Lowassa ameonekana kuwa tishio kwa wagombea wengine,na kibaya zaidi kinachowauma ni pale wanapomtukana lowassa lakini lowassa amekuwa mstaarabu kwa kuchaguwa kuwa kimya huku yeye binafsi akijikita kutafuta ushawishi kwa wananchi,ni hivi tu karibuni kutafanyika vikao vya maamuzi ndani ya ccm lakini kuna kila dalili za kutofanyika kikao hicho vinavyotegemewa kuanza wiki ijayo.Ushauri wangu kwa ccm kwa muda mmeshalewa lowassa yuko mbali sna nawashauri tafuteni njia ya kidiplomasia mzungumze naye,mi siyo mwanasiasa lakini nimeliona hili je nyie mlioko huko juu??Yangu macho nione
 
hauwezi kulala wakati shetani ameingilia familia yako ,ndo maana hata kanisani wakishajua kuwa kuna mawakala wa shetani lazima wachungaji wakeshe kwa maombi ili shetani asiangushe kanisa la mungu ndo wanachokifanya watu makini wanaolitakia mema taifa hili
 
Tunataka azungumzie miswada iliyopelekwa kwa hati ya dharura. Atawezaje kuondoa umaskini ikiwa miswada isiyo na maslahi kwa Taifa inataka kupitishwa naye yuko kimya?
 
hauwezi kulala wakati shetani ameingilia familia yako ,ndo maana hata kanisani wakishajua kuwa kuna mawakala wa shetani lazima wachungaji wakeshe kwa maombi ili shetani asiangushe kanisa la mungu ndo wanachokifanya watu makini wanaolitakia mema taifa hili

Kumbe nawewe ndo wale wale mwanaisha aliosema hampati usingi,sikujuwa kama mko wengi hivi,mwanaisha karusha jiwe gizani.Lowassa hazuiliki mmejitoa akili
 
hauwezi kulala wakati shetani ameingilia familia yako ,ndo maana hata kanisani wakishajua kuwa kuna mawakala wa shetani lazima wachungaji wakeshe kwa maombi ili shetani asiangushe kanisa la mungu ndo wanachokifanya watu makini wanaolitakia mema taifa hili

hta mfugaji anapohisi chui kaingia katika zizi la mbuzi utalalaje labda uwe juha
 
Back
Top Bottom