falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,213
- 9,334
angechukua tahmeed
Shida yangu ni kujua hizi pesa nyingi zinazotumika kutafuta wazamini 450 tu wanazitoa wapi? watazirudishaje?
umeshamuuliza makamba kwanza????
acha kushoboka na mali za wanaume wenzako kama unaupenda umaskini endeleaa kuweka mikalio yako chini
ww shida yako ni nini! ?
Leo nimefanikiwa kupita mitaa ya Arusha nikakuta Yutong mbili za Lowasa, zimepambwa kwa rangi za kijani na picha za Lowasa, Team Lowasa. Lakini zimeandikwa jina la kampuni la mabasi "RATICO".
Nikajiuliza hivi hizi Yutong kweli ni za RATICO au jina limewekwa tu ili kuua soo!!!. Lakini kama amekodi, mbona basi zima limepakwa rangi tofauti na ile ya kampuni?. Nikajiuliza maswali mengi kwamba kama kweli Lowasa amekodi haya magari, kwa siku anamlipa shilingi ngapi RATICO hadi ahairishe safari zake za abiria na amkodishie Lowasa katika mizunguko yake?. Na kama Lowasa amenunua, kanunua shilingi ngapi basi za kisasa kama hizo?.
Lakini pia wadau wakanitonya kuwa kuna zaidi ya Yutong mbili maana zingine zilikuwa Babati. Nimejiuliza sana, kwamba Lowasa hii pesa kapata wapi?, au atazirudishaje?, nafahamu kuwa akifika Arusha matajiri wote ufunga shughuli zao na kufuatana na Lowasa, je atawalipaje hawa matajiri?,Au akiwa Rais hao matajiri si hawatakwepa kodi ili kurudisha pesa zao?. Kuna maswali mengi hapa.

hata sitta naye alikodi basi kama lowassa
ndio kwa hyo??
boya nini ww
Mimi sijaona za Makamba, lakini kama na yeye ni kama Lowasa basi tunaelekea kubaya kama nchi
Shida yangu ni kujua hizi pesa nyingi zinazotumika kutafuta wazamini 450 tu wanazitoa wapi? watazirudishaje?
Siku ya kwanza kupita ile mitaa zinapopaki ratco nikaiona moja ime bandikwa stika za lowasa gari zima nikajua ndio anazungukia mikoani lkn siku mbili baadae nikapita pale na kukuta gari zaidi ya nne za kampuni ya ratco zimepandikwa stika za lowasa gari zima nikajua ni mahaba tu ya mmiliki wa hayo magari kwa lowasa...lkn siamini km ameyakodi hayo magari,kwa shughuri zipi?na mbona yanafanya safari km kawaida?
boda boda wa lindi atujalipwa , wanalipwa ratico
mnakosaga kazi za kufanya ndomana kila wakati kumdiscuss LE,mnauliza pesa anatoa wapi,bado tena mnasema ni tajiri,bado mnasema ana nunua watu.sasa tuwaelewe vipi nyie vizabizabina??hao wagombea wengine kwani hizo pesa watazirudisha vipi?kwani ni Lowassa pekee anaetafuta wadhamini?kwani duniani ni Lowassa pekee mgombea anae pata wadhamini kutoka makundi mbalimbli??Achane chuki fanyeni kazi mkose muda wakupiga majunguLeo nimefanikiwa kupita mitaa ya Arusha nikakuta Yutong mbili za Lowasa, zimepambwa kwa rangi za kijani na picha za Lowasa, Team Lowasa. Lakini zimeandikwa jina la kampuni la mabasi "RATICO".
Nikajiuliza hivi hizi Yutong kweli ni za RATICO au jina limewekwa tu ili kuua soo!!!. Lakini kama amekodi, mbona basi zima limepakwa rangi tofauti na ile ya kampuni?. Nikajiuliza maswali mengi kwamba kama kweli Lowasa amekodi haya magari, kwa siku anamlipa shilingi ngapi RATICO hadi ahairishe safari zake za abiria na amkodishie Lowasa katika mizunguko yake?. Na kama Lowasa amenunua, kanunua shilingi ngapi basi za kisasa kama hizo?.
Lakini pia wadau wakanitonya kuwa kuna zaidi ya Yutong mbili maana zingine zilikuwa Babati. Nimejiuliza sana, kwamba Lowasa hii pesa kapata wapi?, au atazirudishaje?, nafahamu kuwa akifika Arusha matajiri wote ufunga shughuli zao na kufuatana na Lowasa, je atawalipaje hawa matajiri?,Au akiwa Rais hao matajiri si hawatakwepa kodi ili kurudisha pesa zao?. Kuna maswali mengi hapa.
Mbona unakua mkali bibie? Kama ni mume mwema utampata tu vuta subira kwani umri kitu gani?