Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

katika hali ambayo inawashangaza wengi katika kipindi hii ni kuona mtangaza nia katika ccm ambaye ni lowasa akitumia mguvu nyingi za pesa na kuandaa makundi mengi sana kwa gharama zisizoitajika kwa sasa ili mkwenda ikulu,na wengine wanasema kama anajiamini kwa nini asitulie kama wengine wanaoonekana ni bora zaidi ya lowasa ambao wametegemea uwezo wao kuwa kigezo cha kujinadi kwa watu pasipo kutumia makundi ambayo kwa histori yamemponza kikwete au ndo (kizuri cha jiuza na kibaya cha jitembeza ?) katika hali hii inaacha maswali mengi kwa watu,

je nauliza ni kweli lowasa ni mtu ambaye taifa linamuitaji kwa sasa au anatafuta sifa ambazo zitamfanya watu wa muone kama anakubalika?
 
Katuibia weeeeeeeeeee..........., eti leo anarudi anajidai oho, nawatoa kwnye umaskini, oho nauchukia umaskini, oho nitaifanya Tz pepo ...hivi yeye anauchukia umaskini kuliko nani ama kaambiwa umaskini ni sifa ? kama ana pesa nyingi kwanini asitulie akafurahiaa pesa zake? umaskini wetu si wa pesa, anatakiwa aelewe kwsmba sie watz hatuna umaskini wa pesa, bali tuna umaskini wa kupata viongozi wabovu na wenye tamaa kama yeye na ndo maana tunatafuta viongozi wa kutufanya wa kutuongoza na si wa kutupa pesa, kama ni pesa nchi yetu inavyo vitu vingi sana vya kutufanya matajiri na si pesa ya mwizi.
 
Wewe ni mzushi,hivi mh lowassa kwa shida gani ya kiwanja,mpaka achukue cha kanisa?mwenye laana ni ww unaezusha.
 
Katuibia weeeeeeeeeee..........., eti leo anarudi anajidai oho, nawatoa kwnye umaskini, oho nauchukia umaskini, oho nitaifanya Tz pepo ...hivi yeye anauchukia umaskini kuliko nani ama kaambiwa umaskini ni sifa ? kama ana pesa nyingi kwanini asitulie akafurahiaa pesa zake? umaskini wetu si wa pesa, anatakiwa aelewe kwsmba sie watz hatuna umaskini wa pesa, bali tuna umaskini wa kupata viongozi wabovu na wenye tamaa kama yeye na ndo maana tunatafuta viongozi wa kutufanya wa kutuongoza na si wa kutupa pesa, kama ni pesa nchi yetu inavyo vitu vingi sana vya kutufanya matajiri na si pesa ya mwizi.

Kakuibia ww nanani???kama haupendi umaskin unataka aseme anaupenda???hajasema anawapa pesa wakat unaandika uwe unaangalia unachoandika.....lowassa ndo chaguo la wapiga kura sio chaguo la piga lomo..anakubalika kwa wapiga kura baaaasi ww kama hutaki polee
 
Leo nimefanikiwa kupita mitaa ya Arusha nikakuta Yutong mbili za Lowasa, zimepambwa kwa rangi za kijani na picha za Lowasa, Team Lowasa. Lakini zimeandikwa jina la kampuni la mabasi "RATICO".

Nikajiuliza hivi hizi Yutong kweli ni za RATICO au jina limewekwa tu ili kuua soo!!!. Lakini kama amekodi, mbona basi zima limepakwa rangi tofauti na ile ya kampuni?. Nikajiuliza maswali mengi kwamba kama kweli Lowasa amekodi haya magari, kwa siku anamlipa shilingi ngapi RATICO hadi ahairishe safari zake za abiria na amkodishie Lowasa katika mizunguko yake?. Na kama Lowasa amenunua, kanunua shilingi ngapi basi za kisasa kama hizo?.

Lakini pia wadau wakanitonya kuwa kuna zaidi ya Yutong mbili maana zingine zilikuwa Babati. Nimejiuliza sana, kwamba Lowasa hii pesa kapata wapi?, au atazirudishaje?, nafahamu kuwa akifika Arusha matajiri wote ufunga shughuli zao na kufuatana na Lowasa, je atawalipaje hawa matajiri?,Au akiwa Rais hao matajiri si hawatakwepa kodi ili kurudisha pesa zao?. Kuna maswali mengi hapa.
 
Haaaa
Ccm Ni Chama Kibaya Yaani Wanataka Kutubana Kisheria Haraka Hivi Yaani Kila Kona Ni Wao
Wanatangaza Nia October Ndiyo Tunawapuliza Hawa Wote.
 
RATCO ni shida hata January Makamba anatumia RATCO.
 
We ni mjinga wa kwanza kuuliza ya lowasa mbona ya sita huulizi tena la sita liikuwa speial hadiitting room,tumia ubongo kufiikiri na s masaburi au mtafute mwanaume akuoe utafuta upumbavu wako
 
Watanzania wa sasa sio wa mwaka 1990 hawaitaji mapambo ya magali wanachotaka ni hoja za ukweli ili kuwashawishi wakupe kura kama mgombe hana hoja za maana anazani kupamba magari ndo kukubalika aende kwenye viwanda vya rangi wampambe yeye ndo aje kwenye majukwaa,lowasa na timu yake wanaweweseka tu.
 
we ni mjinga wakwanza kuuliza ya lowasa mbona ya sita huulizi tena la sita liikuwa speial hadiitting room,tumia ubongo kufiikiri na s masaburi au mtafute mwanaume akuoe utafuta upumbavu wako

Wote mafisadi tu.
 
umeshamuuliza makamba kwanza????

acha kushoboka na mali za wanaume wenzako kama unaupenda umaskini endeleaa kuweka mikalio yako chini
 
Back
Top Bottom