Mkakati wa hawa watu kuitishia kamati ya maadili kupitia mitandao ya kijamii ni ya kitoto na kijinga.
Hoja Kwamba Lowassa akikatwa mara chama kitakufa, maana ana wafuasi wengi sana. Mara akikatwa ataenda ACT. Basi mnaambiwa mtakatwa. Anzeni safari yenu ya matumaini na ACT
Lowassa hana wafuasi wengi. Ana wasaka fedha na wasaka tonge. Na hata Huko ACT tutajua mbivu na mbichi. Ila mtambue kwamba, CCM itukufa vibaya ikiachwa mikononi mwa mafisadi na wahuni kama Lowassa na Genge la Mafisadi papa
Hacheni huu utoto wa intimidation kwenye mitandao, mnamuharibia Lowassa wenu. Fisadi hasafishiki hata kwa dodoki na jiki. Pengine atumie Mkorogo atatakata