KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,149
Huyo chifu alikwenda uwanja Wa ndege au alipelekwa uwanja Wa ndege?
Nadhani mzee wa misele kashacheza chogochemba na sasa anapiga misele kujifanya anaaga majuu lkn kumbe anatayarisha dili zaidi za kupiga na EL..!! Hawa Boyz 2 Men ni wa kuwaogopa kama ebola..
Acha kutudanganya mtu mgonjwa hata kutembea ni changamoto hawezi kupanda juu ya paa.
siamini kama watanzania tunawapenda mafisadi hivi
Umenena rafiki , nilikuwa siamini kwamba Lowassa mgonjwa. Nimesikitika sana baada ya kutumiwa clips ikionesha jamaa. Anashindwa kusimama duu rais mgonjwaaaaaa. Naomba mnielelekeze namna ya ku post video mjionee wenyewe.
Truueeeeee....trueeeeeeeeeee.....
Kiongozi shupavu husema wazi waziiiii ukweli, HAKUNA KAMA LOWASSA kwa sasa kwa wagombea woooote... hakuna, kasema kweli tupuuu..!!!
Wengine watia nia are jokers, haters, unpredictable, unknown, wengine wanatumika tu..wala sio viongozi wala hawatakiwi na wananchi...
Very good EL... Mpango wa Mungu EL...!!!
EL kama Yesu kwa sasa...!!!