TeamLowassa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 1,495
- 937
- Thread starter
- #81
Haya ma team lowasa yananjaa,aisee njaa mbaya sana
Wewe uliyeshiba humjui mwenye njaa, ndo maana hupendi viongozi wakombozi wa wanyonge akina Lowassa! We umeshiba tayari!
Haya ma team lowasa yananjaa,aisee njaa mbaya sana
Safi sana Mkuu...... Team Lowassa for real
mahasimu.....must be typing error!
Waliodai ww ni msomali hawakukosea, unatumia kiswahili cha kununua!
Lowassa ni fisadi hawezi kuwa Rais wa Tanzania....hata km hakuna ushahidi wa moja kwa moja, ile kutuhumiwa tu tayari ana-disqualify kuwa kiongozi wa umma!😎
lowasa na lipumba wanafaa kufanya kazi moja
lowassa my next presdent! we love u all! for real!
Siasa haziendi hivyo kama unavyotafsiri wewe, eti kutuhumiwa tu tayari upo disqualified? Acha kuota mchana sasa hivi!
Sio kutuhumiwa tu kaka, kamati teule ya Bunge ikiongozwa na Dr. Mwakyembe ilimbaini kuwa anahusika katika kashfa ya Richmond na mwenyewe kwa aibu aliamua kujiuzuru uwaziri mkuu.Waliodai ww ni msomali hawakukosea, unatumia kiswahili cha kununua!
Lowassa ni fisadi hawezi kuwa Rais wa Tanzania....hata km hakuna ushahidi wa moja kwa moja, ile kutuhumiwa tu tayari ana-disqualify kuwa kiongozi wa umma!😎
No wonder, Lipumba akampa waziri wa uchumi na fedha! hii ni nchi yetu sote!
umenijibu kizalendo sana, Mungu asaidie
Magogoni uhakika mwaka huu! Kama ni siasa za fitna sisi ndio baba lao! Watapoteana mbaya sana, ole wao wajaribu!
Kweli mkuu, NAWAKUBALI KWA SIASA ZA FITINA....toka enzi ya salim....Nimeona ile picha iliyotengenezwa ya yule mgombea anayetaka kudili na vibaka wa CCM.
Afu naona mnavyofitini itv kujitahid kurusha habari zenu kwa sana...
Nawakubali kwa fitna...
Watanzania Wameapa kutomwingiza fisadi yoyote ikulu Dr. Slaa amebaki kuwa tegemeo la WatanzaniaHahahaha tulia wewe, wewe unafikiri urais unapewa kwenye kisosi ama kisahani? kalaghabaho, unapambana mkuu!