Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,273
- 27,850
Mlevi hakosi sababu za kupombeka asubuhi namna hii!Naenda Bar mapemaa kusherehekea, CCM bora hata tungesimamisha jiwe siyo huyu shetwain lenye nyoka hatari sana kwa taifa akina Rostam, Chenge, Karamgagi......
I was TeamLowassa tumeshakubali kwani baba yetu yule hata angepita tusingefaidika na chochote ni ushabiki tu ule life's going on
Pole sana Lowasa na team yako.Pamoja na kutokuunga mkono,ila huruma imeniingia sana baada ya kusikia habari za kukatwa.Ningependa kujua kwa sasa mzee upo wapi na u hali gani?
Huo Ndio Utofauti Kati Ya Ccm Na Chadema Ccm Ni Tumbo Mbele Maslahi Kwanza, Chadema Utaifa Kwanza Maendeleo Yanafuata
Itakapofika October ndio utakumbuka haya
Team Lowasa..safari ya matumain inaendelea,maamzi magumu yapo palepale.
Itakapofika October ndio utakumbuka haya