Kipindi kimekwisha.
My Take.
Nimemsikiliza kwa makini sana, kiukweli namkubali huyu jamaa kwa 100%!.
Wale wenzangu na mimi, wenye mategemeo ya ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, kwa mwaka 2015, lazima wamshukuru sana JK, kwa sababu ni kupitia JK, uwezekano wa kuwezekanika kwa ukombozi huo, kunawezekanika!.
Wale mnaolalamika kuwa miongoni mwa makosa makubwa Watanzania, waliofanya, ni kumchagua JK kuwa rais wetu!, kiukweli, uchaguzi wa JK ndio kichecheo cha ukombozi wa pili wa Mtanzania, vinginevyo kama ni Lowassa ndie angekuwa rais, Tanzania isingekuwa hapa ilipo, na kusingalikuwepo hata hilo hitaji la ukombozi wa pili wa Mtanzania maana Tanzania ingeshakuwa peponi!.
Hivyo wale wote wenye kulitakia mema taifa hili, mshukuruni sana EL na JK, vingenevyo 2015, ingekuwa ni hadithi ile ile tulioizoea!.
Kipindi kimeanza, anaanza na repeat ya hoja yake ya gesi kuwa vitalu vilivyoshagawiwa vinatosha, tusiendelee kugawa vitalu. Mtaniona mjinga, ' I'm not a fool"!.
Wanabodi,
Wale wenye access na ITV, lets watch part II ya Mahojiano ya Waziri Mkuu wetu mstaafu kwa kujiuzulu, Edward Lowassa kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na ITV kuanzia saa 3:00 usiku huu!.
Its expected EL pia atazungumzia his presidential bid kwa uchaguzi wa 2015!.
Nawaombeni tumsikilize kwa makini sana haswa kwa kuzingatia siasa za nchi hii, hazitabiriki sana, haswa kipengele cha "Umdhanie Siye kumbe Ndiye" na pia uwezekano wa "Jiwe walilolikataa waashi, kufanywa kuwa jiwe kuu la pembeni"!.
Kipindi kimekwisha.
My Take.
Nimemsikiliza kwa makini sana, kiukweli namkubali huyu jamaa kwa 100%!.
Wale wenzangu na mimi, wenye mategemeo ya ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, kwa mwaka 2015, lazima wamshukuru sana JK, kwa sababu ni kupitia JK, uwezekano wa kuwezekanika kwa ukombozi huo, kunawezekanika!.
Wale mnaolalamika kuwa miongoni mwa makosa makubwa Watanzania, waliofanya, ni kumchagua JK kuwa rais wetu!, kiukweli, uchaguzi wa JK ndio kichecheo cha ukombozi wa pili wa Mtanzania, vinginevyo kama ni Lowassa ndie angekuwa rais, Tanzania isingekuwa hapa ilipo, na kusingalikuwepo hata hilo hitaji la ukombozi wa pili wa Mtanzania maana Tanzania ingeshakuwa peponi!.
Hivyo wale wote wenye kulitakia mema taifa hili, mshukuruni sana EL na JK, vingenevyo 2015, ingekuwa ni hadithi ile ile tulioizoea!.
Asanteni.
Pasco.
Mkuu Nyamgulu, there ia always a wrong way and a right way, if you follow the right one, you'll reach where you wanna be!, if you follow the wrong way, you'll get lost!, thoughts are the same, follow the right thought and get there, or follow the wrong one and get lost!. The choice is yours!.Ushauri wangu kwako ni usizitegemee akili zako, utapotea, sikiliza moyo wako, there is only one truth na utaipata by listening to your heart!.Akili inataka kumkubali, roho inakataa bila kusita.
Wanabodi,
Wale wenye access na ITV, lets watch part II ya Mahojiano ya Waziri Mkuu wetu mstaafu kwa kujiuzulu, Edward Lowassa kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na ITV kuanzia saa 3:00 usiku huu!.
Its expected EL pia atazungumzia his presidential bid kwa uchaguzi wa 2015!.
Nawaombeni tumsikilize kwa makini sana haswa kwa kuzingatia siasa za nchi hii, hazitabiriki sana, haswa kipengele cha "Umdhanie Siye kumbe Ndiye" na pia uwezekano wa "Jiwe walilolikataa waashi, kufanywa kuwa jiwe kuu la pembeni"!.
Kipindi kimekwisha.
My Take.
Nimemsikiliza kwa makini sana, kiukweli namkubali huyu jamaa kwa 100%!.
Wale wenzangu na mimi, wenye mategemeo ya ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, kwa mwaka 2015, lazima wamshukuru sana JK, kwa sababu ni kupitia JK, uwezekano wa kuwezekanika kwa ukombozi huo, kunawezekanika!.
Wale mnaolalamika kuwa miongoni mwa makosa makubwa Watanzania, waliofanya, ni kumchagua JK kuwa rais wetu!, kiukweli, uchaguzi wa JK ndio kichecheo cha ukombozi wa pili wa Mtanzania, vinginevyo kama ni Lowassa ndie angekuwa rais, Tanzania isingekuwa hapa ilipo, na kusingalikuwepo hata hilo hitaji la ukombozi wa pili wa Mtanzania maana Tanzania ingeshakuwa peponi!.
Hivyo wale wote wenye kulitakia mema taifa hili, mshukuruni sana EL na JK, vingenevyo 2015, ingekuwa ni hadithi ile ile tulioizoea!.
Asanteni.
Pasco.
ipo siku watu wataelewa kuwa EL hausiki na richmond? sisi wachache ndio tunaojua fact za richmond, tunamlaumu sana EL kwa nini alijiuzuru. Wenye kumbukumbu siku EL alipojiuzuru Bungeni alihojiwa na Tido mhando wa TBC kwenye mazungumzo ambayo yalirekodiwa akiwa kwenye nyumba ya waziri mkuu ya Dodoma. yale mazungumzo yalikuwa yarushwe na TBC alhamisi usiku. Tido alitaka airushe kama ilivyo bila kuedit. wapambe wa JK walizipata taarifa very late kwamba EL anamwaga mboga, kipindi kilipotaka kwenda hewani tu yaani tido anamtambulisha EL, kikakatwa hapohapo. anayetaka kujua Ngoyayi aliongea nini amuulize Tido atamweleza vizuri, kwa kuwa Tido hayupo tena kifungoni(TBC) yupo huru (mwananchi).
Najua EL hawezi kuongea tena hii issue mpaka JK atakapomaliza uraisi wake, ila issue ya richmond itampa tabu sana katika harakati za uraisi. Haitoshi tu kusikia kuwa EL amemweleza JK kwenye vikao vya kamati kuu dodoma kwamba yeye JK ndio aliyekuwa anampa maelezo kuhusiana na Richmond, wananchi wanataka wamsikie yeye EL mwenyewe.
I WILL ALWAYS BE THE TRUTHFUL DISCIPLE OF NGOYAYI
Anasema uchumi wa tz ni uchumi wa muhogo...