Ndugu zangu,
Sikutaka kabisa kushiriki katika hii mitandao ya kijamii ambayo mimi niliiona kama ni ya kihuni, lakini nimegundua kwamba kuna vitu vya msingi sana ambavyo huwa vinajadiliwa humu na hii imenifanya niamue kushirikii.
Nimesoma michango yenu mingi sana humu, kimsingi michango mingi imejaa chuki dhidi yangu na wenzangu, huwa nashindwa kuelewa sababu hasa ya kunichukia kiasi hiki. Sitaki Malumbano na yeyote, lakini sipendi pia muendelee kuendesha propaganda za kunichafua.
Kuna watu ambao watahakikisha napotea kisiasa, sijui ni kwa maslahi ya nani, najua sababu ni kwamba na wala sijisifu, mimi ni kati ya watu ambao pamoja na matatizo ya kibinadamu niliyonayo, nina uwezo mkubwa wa kuliongoza taifa hili na hii inanifanya nionekane tishio kwa wale wote ambao wanataka kuliongoza hili taifa. Mimi sina nia ya kuwa rais wa Tanzania kwa vyovyote vile lakini ningependa kuwaongoza watanzania iwapo wananchi wangependa iwe hivyo.
Kuhusu hizi shutuma ninazopewa, nadhani ni uonevu tu kwa kuwa hakuna hata mmoja wa wale wanaonishutumu ambaye ana ushahidi wa moja kwa moja kwamba mimi nilishiriki katika kuihujumu nchi, na kwa uzalendo wangu niliamua kuuacha uwaziri mkuu, sijui watanzania wanataka nifanye nini. Najua kama binadamu nina mapungufu yangu na kila mtu anayo lakini hiki kisiwe kigezo cha kuyaacha mazuri yote niliyoifanyia nchi hii na kunisakama, kunitushi na kunidhalilisha kwa kila njia.
Naomba watanzania mnielewe kuhusu Richmond nilifanya kwa nia njema lakini bahati mbaya na kwa makosa ya kibinadamu kampuni ile ikawa feki, ni nilikubali kubeba lawama kwa kujiuzulu. Watanzania kosa langu ni nini hasa? Nihukumuni kwa haki tafadhali sio kwa propaganda.
Ya CCM na dhana ya kuendelea kuchafuana ya magamba nitaileza siku nyingine. Naomba leo niishie hapa, nitaendelea kueleza ukweli wangu popote nitakapopata fursa ikiwa ni pamoja na kupitia mitandao hii ya kijamii.

Asanteni ndugu zangu kwa michango yenu, nia yangu si kujisafisha kama wengi mnavyodhani, mimi si mchafu na sioni sababu ya kujisafisha. Ninachotaka kuueleza uma wa Watanzania ni kuhushu shutuma nyingi za kunichafua zinazoelekezwa juu yangu, watanzania waujue ukweli.
Ninaposema sitagombea urais kwa vyovyote vile, namaanisha sitatumia hila kupata urais. Hata hivyo mpaka sasa sijaamua kuwa nitagombea urais lakini nikiamua hivyo nitataka watanzania waamue kulingana na haya nitakayoendelea kuyaeleza nipatapo fursa.
Ndugu zangu nchi yetu iko katika hali ambayo si nzuri, watanzania tuache malumbano, tuache kuchafuana, tutumie rasilimali tulizonazo kuiendeleza nchi yetu. Tuna utajiri wa kutosha tutaendelea kuombaomba mpaka lini. Wanaotaka kuendelea kunichafua waendelee lakini nitaendelea kusimamia ukweli mpaka mwisho wa maisha yangu.
Si mumpigie simu mjue ukweli? 0754 800 000

Mwenyewe halisi yuko kwenye ibada!.nimepiga haipokelewi

labda mwenye simu yake (EL) au aliye karibu naye aongee naye kupata uthibitisho kama amejisajili JF na kaanza sredi ! wenye kufahamu mtandao wake hebu mtwangie saa saba saba au nane .. atakuwa ameshatoka church