Kisesa Yetu
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 434
- 344
Kama requirement ni kuwa na busara tu basi nenda ukamuite babuyako uliyemuacha kijijini aje agombee..Huyu anazo sifa za kuitwa rais wa nchi maana anazo hekima na busara katika maneno yake, hivyo ni rahisi kwake kuunganisha jamii yote ya Watanzania na kuwa kitu kimoja, siyo huyu ambaye anaamini wakosoaji wake ni maadui wa taifa hili
hahahhahaahhhaa mkuu angalia usiitwe mchochezi!!! una maana hapendi kupaa kwa sababu ya nanilia duhhh ckulifaham hilo 🙁🙄😱Ila jamani Mungu fundi.... anajua wapi aweke tofali wapi aweke bawaba..... Sizonje angeijua lugha ya malkia vizuri haki tusingelala hapa mjini.... baba mpenda sifa kuliko malaika wa sifa ibilisi
......
Na Ule moyo ungekua unatulia angekata mawimbi kuliko Vasco da Gama.... ama kweli Mungu fundi.
Post sent using JamiiForums mobile app
Haahahahahahaha hivi ccm kinachowafanya muamini lowasa hawezi uongozi ni nni??? kma tu chama chenu kilimpa uwaziri mkuu kivp leo mnakuwa wa kwanza kumtukana kuwa anaweza kuzungusha mikono tu sijui zezeta n.k mnatoa wapi huo ujasiri?? kesho akirudi ccm mtasemaje??? funnyKama requirement ni kuwa na busara tu basi nenda ukamuite babuyako uliyemuacha kijijini aje agombee..
Post sent using JamiiForums mobile app
ila fisadi huyo alishawahi kuwa waziri mkuu wa chama tawala je tuamini kuwa ccm kinalinda mafisadi??? je mahakama ya mafisadi mbona hamumpeleki??? unazungumziaje kauli yake ya mwenye ushahidi aende mahakamani??Sio mara ya kwanza...What is NTV??
hata BBC WALIMUHOJI..
Watanzania hawataki ufisadi ...FINITO
lowasa hagombei 2020!!! hta mbowe alisema anagombea 2010 ila haikuwa hivo pia slaa alisema anagombea 2015 ila haikuwa hivo so lowasa amesema hivo kma azma ila hatogombea urais 2020!!!! Nina credible source ya hayaHakuna mgombea wa urais kupitia chadema aliyewahi kugombea mara mbili. Kama Lowasa akigombea mara ya pili ntaamini chadema wamekumbwa na Mabadiliko Lowasa.
Mimi hastahili kuniongoza.He deserves kutuongoza
Hata awe na sifa gani ila fisadi hapana.Huyu anazo sifa za kuitwa rais wa nchi maana anazo hekima na busara katika maneno yake, hivyo ni rahisi kwake kuunganisha jamii yote ya Watanzania na kuwa kitu kimoja, siyo huyu ambaye anaamini wakosoaji wake ni maadui wa taifa hili
Itakuwa siyo muugwana na mustarabu kama hauna ngozi ngumu hama jfTafsiri ya kijiamini tafadhali!
Kinyume chake nafahamu, ni woga, kutetemeka na kujinyea...
Je wewe ubagombea? Mbona unausemea moyo? Give us information from your impeccable sources!lowasa hagombei 2020!!! hta mbowe alisema anagombea 2010 ila haikuwa hivo pia slaa alisema anagombea 2015 ila haikuwa hivo so lowasa amesema hivo kma azma ila hatogombea urais 2020!!!! Nina credible source ya haya
mimi sio mwanasiasa ni mtu mwenye profession yangu nje ya siasa so sigombei post yoyote ya kisiasaJe wewe ubagombea? Mbona unausemea moyo? Give us information from your impeccable sources!
aliwezaje kuwa waziri mkuu wa chama chako kama alikuwa fisadi??? je chama chenu kumbe kweli kinalinda mafisadi???Hata awe na sifa gani ila fisadi hapana.
Heshima muhimu mkuuIla jamani Mungu fundi.... anajua wapi aweke tofali wapi aweke bawaba..... Sizonje angeijua lugha ya malkia vizuri haki tusingelala hapa mjini.... baba mpenda sifa kuliko malaika wa sifa ibilisi
......
Na Ule moyo ungekua unatulia angekata mawimbi kuliko Vasco da Gama.... ama kweli Mungu fundi.
Post sent using JamiiForums mobile app
View attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.
" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
16 July 2017