Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
tayari umeshapanic.Leo ameingia kanisa gai? Maana jana alikuwa KKKT
tayari umeshapanic.Leo ameingia kanisa gai? Maana jana alikuwa KKKT
Tuma askari mkamkamate si mmezuia mikutano ya kisiasa.?Leo ameingia kanisa gai? Maana jana alikuwa KKKT
Hapa ni wapi? mbalizi ?Mh Edward lowassa akiwa katika Mkutano wa ndani MBEYA vijijini muda huu akiendelea na ziara ya Kujenga UKUTA na kazi ya chama ndani ya chama .
View attachment 385614 View attachment 385612
Mkuu ebu edit kidogo hapo ili ilete maana. Badala ya kumwambia "wabaki" andika "mbaki".Tumekwisha sema wakina mama wote wabaki nyumbani na wanaume tutaenda kudai democracy
Vipi Lukuvi, Membe na yule DC wa kinondoni bado wanamhujumu mtukufu Rais kama ulivyotuaminisha siku chache zilizopita?Leo ameingia kanisa gai? Maana jana alikuwa KKKT
wewe umekula maharage ya wapi,,, hamna hoja mmeishiwa.Wakimkamata huyu Lowassa pengine ukuta utaanza siku hiyoyo, ndio utajua kuwa kweli alishinda kwa salimia 62. Watanzania bado wanaimani naye, ila sasa wananchungulia tu Magufuli anafanya nini kwanza. Lakini naona kama anachuja kwa haraka, sababu haji na mpya tena baada ya kutumbua vidagaa pale bandarini.
mnayemtafuta...hamjampata tu?Swali la maingi sana. Na huyo ndiye tunayemtafuta
Lowasa huyu huyu ninayemjua Mimi or?And this is only the beginning
Itafika siku hata Magufuli atakuwa anatembea na mlinzi tu kama ilivyo leo kwa Kikwete.Yaani Lowasa huyu aliyekuwa kila akipita anatisha,Akifika mahali anapokelewa na wakuu wote wa vikosi vya ulinzi na usalama na kupigiwa saluti toka kila upande Leo hii anapokelewa na BAVICHA!
Mwenyezi Mungu kamwadhibu barabara kwa dhambi alizowatendea watanzania walio wengi
Endelea kupiga ramliMwisho wake kisiasa umewadia
Huo wakati umeshafika kwa Lowassa. Si unaona hata mlinzi hana?Itafika siku hata Magufuli atakuwa anatembea na mlinzi tu kama ilivyo leo kwa Kikwete.
Leo ameingia kanisa gai? Maana jana alikuwa KKKT
Mi mwenyewe najiuliza kama magu nae atakuwa mbele akiwa kaongozana na Polisi ckuhiyo huku akipiga zile push up zakenajiuliza kama lowassa atakuwa mstari wa mbele tarehe 1 septemba
Leo ameingia kanisa gai? Maana jana alikuwa KKKT