luvcyna
JF-Expert Member
- Feb 24, 2009
- 1,848
- 1,940
Very trueSifa unayompa hailingani na mtu mwenyewe.
Very trueSifa unayompa hailingani na mtu mwenyewe.
Unajua mkuu Madava mbwa walioko nje ya geiti wana bweka bweka zaidi ili wasikike kuliko walio ndani ya geiti au ndani ya mjengo, ndio sawa na hao ulio waita vikaragos na Lumumba.Unamtafuta na nani we kikaragos unayejipendekeza tu wala hakuna anayekujua apo lumumba jibweka we
Walio ishiwa hoja na sera ni wale wanaozuia mikutano ya vyama vya siasa wakati wenyewe wanaenda kuhutubia kejeli, " vyatueni watoto nitasomesha bure" kuzaa ni zaidi ya kusomesha, kusomesha ni sehemu tu ya malezi ya mtoto.Kama hiyo inatosha wamejaa wengi sana wanaomba omba huko mtaani wazoeni basi mkasomeshe bure, mkisha maliza hao njoeni mtuagize kuvyatua hao wengine. Huko ndio kuishiwa hoja na sera, sasa msizuie wale wenye sera zao na hoja kuongea na wananchi. Mwingine anasema sija sikia Marekani baada ya uchaguzi watu wanafanya mikutano tena, utafananisha USA na Tanzania? Asilimia 95 ya wamarekani wana access ya kuangalia tv live na kusoma magazeti kila siku, hakuna cha Bunge halirushwi wala nini, lakini ukitaka kuwafikia watanzania wote na kuwafikishia sera zako lazima uwafuate huko ukafanye mikutano nao. Tanzania sio Dar es salaama tu. Mtu kama hawezi kujua hata mazingira anayo ishi yapoje na ayatumie vipi ni shida.wewe umekula maharage ya wapi,,, hamna hoja mmeishiwa.
ThubutuWakimkamata huyu Lowassa pengine ukuta utaanza siku hiyoyo, ndio utajua kuwa kweli alishinda kwa salimia 62. Watanzania bado wanaimani naye, ila sasa wananchungulia tu Magufuli anafanya nini kwanza. Lakini naona kama anachuja kwa haraka, sababu haji na mpya tena baada ya kutumbua vidagaa pale bandarini.
Wanaccm waliopiga kura walikuwa million 8.6, jumala waliojiandikisha ni 8.9, Wanachama wa Ukawa waliopiga kura walikuwa million 5.7 waliojiandikisha jumla walikuwa Million 6 , Je hiyo asilimia sititini na mbili umeipata wapi? Acha kudanganya watanzania ndugu.Wakimkamata huyu Lowassa pengine ukuta utaanza siku hiyoyo, ndio utajua kuwa kweli alishinda kwa salimia 62. Watanzania bado wanaimani naye, ila sasa wananchungulia tu Magufuli anafanya nini kwanza. Lakini naona kama anachuja kwa haraka, sababu haji na mpya tena baada ya kutumbua vidagaa pale bandarini.
Hapo unazungumzia idadi kwa millioni ama asilimia? Fafanua twende wote usiniache.Wanaccm waliopiga kura walikuwa million 8.6, jumala waliojiandikisha ni 8.9, Wanachama wa Ukawa waliopiga kura walikuwa million 5.7 waliojiandikisha jumla walikuwa Million 6 , Je hiyo asilimia sititini na mbili umeipata wapi? Acha kudanganya watanzania ndugu.
He is totally harmless.Huyu ndo mbabe wao yani CCM wakisikia habari za huyu mtu matumbo moto
Wamkamate wanini wakati hana madhara?kwa hiyo hayo ni mafuriko?au mahaba yamepungua siku hizi?Wakamkamate lowassa sasa. Si kazuia mikutano ya kisiasa?
Hapo sawaTumekwisha sema wakina mama wote wabaki nyumbani na wanaume tutaenda kudai democracy
Mkuu una kipaji cha utabiri....Bado kidogo hawajamaa uchwara watapiga marufuku mpaka mikutano ya ndani.