Edward Lowassa ndani ya Mbeya vijijini Operation UKUTA

Wakimkamata huyu Lowassa pengine ukuta utaanza siku hiyoyo, ndio utajua kuwa kweli alishinda kwa salimia 62. Watanzania bado wanaimani naye, ila sasa wananchungulia tu Magufuli anafanya nini kwanza. Lakini naona kama anachuja kwa haraka, sababu haji na mpya tena baada ya kutumbua vidagaa pale bandarini.
Ulilishwa nini hadi unaandika uliyoandika?
 
Usiache pia kujiuliza siku ya kupambana na UKUTA Magufuli atakuwa mstari wa mbele kugonga virungu?.
Virungu vya plastiki kavu vya kuadhibia bila kuvunjika vitakavyotumika siku pendwa, unadhani ni nani mmiliki wake?
Ukisikia mtu kachinja ng'ombe wa5 kwa ajili ya matambiko,mtu huyo huwa kashika mwenyewe kisu na kuwachinja hao ng'ombe? Ama ukisikia mtu kajenga nyumba5,huwa kazijenga kwa mikono yake?
Huyo ni Amiri jeshi mkuu. Ukiona jeshi lolote linatunisha misuli,elewa limepata baraka toka kwake,siyo mpaka ashike mwenyewe zana za kuadabishia ndiyo useme eeh!
 
Wakimkamata huyu Lowassa pengine ukuta utaanza siku hiyoyo, ndio utajua kuwa kweli alishinda kwa salimia 62. Watanzania bado wanaimani naye, ila sasa wananchungulia tu Magufuli anafanya nini kwanza. Lakini naona kama anachuja kwa haraka, sababu haji na mpya tena baada ya kutumbua vidagaa pale bandarini.

Very nice comment!
 
Mpya hapate wapi hana maono huyu.anafikiria kuendeleza nchi nikusisitiza kusema nchi ya viwanda.basi viwanda vitajengwa
 
Huyo lowasa ndo bwana mapesa baada ya kusalimiana watu wakinge mikono
Mzee wamihela huyo
 
Back
Top Bottom