Edward Lowassa ndani ya Mbeya vijijini Operation UKUTA

Edward Lowassa ndani ya Mbeya vijijini Operation UKUTA

Yaani Lowasa huyu aliyekuwa kila akipita anatisha,Akifika mahali anapokelewa na wakuu wote wa vikosi vya ulinzi na usalama na kupigiwa saluti toka kila upande Leo hii anapokelewa na BAVICHA!
Mwenyezi Mungu kamwadhibu barabara kwa dhambi alizowatendea watanzania walio wengi

Kwani Kikwete, Mkapa, Mwinyi. bado wanapokelewa na Mizinga???
Somo la itifaki natamani liwe la lazima kwa kila raia wa nchi hii
 
Bado kidogo hawajamaa uchwara watapiga marufuku mpaka mikutano ya ndani.

Wanaosemaga hawa jamaa uchwara kwamba sio watanzania, inawezekana kuna kaukweli fln vile! Ukicguza matendo na maneno yao, mioyo yao inafanana na watu wa kule walikotoka (kwao) nafasi ya kuzuia ukuta kwa busara ipo" wenyewe wanaandaa polisi kuvunja ukuta! Ajabu hii!"
 
N
Yaani Lowasa huyu aliyekuwa kila akipita anatisha,Akifika mahali anapokelewa na wakuu wote wa vikosi vya ulinzi na usalama na kupigiwa saluti toka kila upande Leo hii anapokelewa na BAVICHA!
Mwenyezi Mungu kamwadhibu barabara kwa dhambi alizowatendea watanzania walio wengi
Ni heri ugali kwenye amani kuliko nyama vitani, kwani kupokelewa na viongozi wa serikari kunamzidishia nini?
 
Hivi ndiyo mjumbe wa kamati anapokelewa . Haaaaahasaa
Mwenyekiti je??

Aaaah kumbe ni mambo ya pesa, posho kwa kila alienda kupanga foleni ya kumpokea
 
Tarehe moja awe mbele asikae ofisini au hoteli aonyeshe ukakamavu. Haaahaahaa
 
CCM kwa kutokuwa na akili na mapolisi yao wanasubiru September mosi wakazuie maandamano wakati Ukuta tayari ishaanza na Polisi wakisaidia kuitangaza huko mitaani...
 
Bora akae nyumbani kwake Tu hiyo September mosi asiwatafutie maafande kesi ya mauaji maanake hata mtama tu watu wanakimbiliana.
 
Wakimkamata huyu Lowassa pengine ukuta utaanza siku hiyoyo, ndio utajua kuwa kweli alishinda kwa salimia 62. Watanzania bado wanaimani naye, ila sasa wananchungulia tu Magufuli anafanya nini kwanza. Lakini naona kama anachuja kwa haraka, sababu haji na mpya tena baada ya kutumbua vidagaa pale bandarini.
Hahahaaaa et UKUTA utaanza siku hiyohiyo
 
Kwanza ww police unaanzaje kwa mfano kumkamata Lowassa,ehee umefika umemkuta halafu unafanyaje labda.Mzee wa watu mpoleeeeee,mtaratibu,huyu hata ukimwita anakuja mwenyewe.
Hata wakina Lissu ukiwaita wanakuja wenyewe.Vile kumbeba beba toka Singida ni mbwembwe na vitisho tu
 
Virungu vya plastiki kavu vya kuadhibia bila kuvunjika vitakavyotumika siku pendwa, unadhani ni nani mmiliki wake?
Ukisikia mtu kachinja ng'ombe wa5 kwa ajili ya matambiko,mtu huyo huwa kashika mwenyewe kisu na kuwachinja hao ng'ombe? Ama ukisikia mtu kajenga nyumba5,huwa kazijenga kwa mikono yake?
Huyo ni Amiri jeshi mkuu. Ukiona jeshi lolote linatunisha misuli,elewa limepata baraka toka kwake,siyo mpaka ashike mwenyewe zana za kuadabishia ndiyo useme eeh!
So ukuta nayo imepata baraka zote toka kwa huyu mwingine? Maana huku tuna Amiri jeshi mkuu na kule tuna Amiri Ukuta mkuu.. lakini anayeombwa kwenda front ni amiri mmoja tu. Duh nasikiaga tu neno Malaika anti-jaribu kumbe ndo maana yake Pana namna hii
 
Back
Top Bottom