Edward Lowassa Ndani ya Manispaa ya Shinyanga kwenye Harambee ya KKKT

Wandugu,
Nimehabarishwa na mdau mmoja aliyepo Shinyanga Mjini kwamba Rais mtarajiwa mheshimiwa sana Edward Lowassa ameandaliwa mapokezi mazito leo hii Mjini Shinyanga ikiwa ni maandalizi ya harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa ambapo yeye ndiye mgeni rasmi. Wadau wa JF waliopo huko ebu fuatilieni nyendo za kiongozi huyu na kutumwagia nyepesinyepesi hapa jamvini.

Je huyu Lowasa anamkataba na watanzania baada ya kikwete yeye ndiye awe raisi wetu
 
Akuna kulala lowassa ]na catholic tuko nyuma yako milele
samahani kuweka wazi ni waziri ambae leo hii angekuwa madarakani natumaini upumbavu na upuuzi wa manispaa kuiba million 300 mpaka billion 2 na cag kukaa kimya na rais kukaa kimya asingeweza vumilia upumbavu huu jamani
is my president so far ...

Waislamu nao wana wao,cjamsikia misikitin au nch hii ina makanisa 2? Au ndio ule mfumo wa ndanda?
 
Mbona haj misikitin au ndio mfumo ndanda? Naunga mkono maalim seif ajae atoke z'bar ili mfumo ndanda
 
Wandugu,
Nimehabarishwa na mdau mmoja aliyepo Shinyanga Mjini kwamba Rais mtarajiwa mheshimiwa sana Edward Lowassa ameandaliwa mapokezi mazito leo hii Mjini Shinyanga ikiwa ni maandalizi ya harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa ambapo yeye ndiye mgeni rasmi. Wadau wa JF waliopo huko ebu fuatilieni nyendo za kiongozi huyu na kutumwagia nyepesinyepesi hapa jamvini.

Umepewa nini kinachozidi future ya watoto wako (na ninaposema watoto am being optimistic maana kuna uwezekano hata wewe mwenyewe utaathirika) hadi umpigie debe unaempigia? Labda sijui, in which case niambie na ukini-convice nami nitakuunga mkono
 
Je huyu Lowasa anamkataba na watanzania baada ya kikwete yeye ndiye awe raisi wetu

Hatuna mkataba naye. Lakini waTZ wanampenda na wangependa awe Rais wao 2015.

Tuna hamu kubwa ya kumwona Mhe EL, Waziri Mkuu Mstaafu, anaapishwa kuwa RAIS wetu.

Ana uwezo wa kufanya maamuzi magumu na kutupeleka kule tunakokutamani.
 
mnahangaika bure labda awe mgombea mwenza,safari hii ni zamu ya zanzibar la sivyo wanavunja muungano na kubaki na mafuta yao!
 
Kikwete has been a national disaster. Lowassa will be national disaster 2. Tanzania deserves better.
 
Ngonjera nyingi humu, nawahakikishia, bila kuchukua hatua madhubuti, this guy will score a goal la kisigino halafu tubaki kulaumiana wenyewe kwa wenyewe. mi yangu macho na masikio.
 
Wandugu,
Nimehabarishwa na mdau mmoja aliyepo Shinyanga Mjini kwamba Rais mtarajiwa mheshimiwa sana Edward Lowassa ameandaliwa mapokezi mazito leo hii Mjini Shinyanga ikiwa ni maandalizi ya harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa ambapo yeye ndiye mgeni rasmi. Wadau wa JF waliopo huko ebu fuatilieni nyendo za kiongozi huyu na kutumwagia nyepesinyepesi hapa jamvini.

toa sadaka ewe rais mtarajiwa ili mungu akupe uweledi wa kuwakomboa wa tz kutoka ktk dibwi la wanyonyaji na wau aji wa bagamoyo
 
Ngonjera nyingi humu, nawahakikishia, bila kuchukua hatua madhubuti, this guy will score a goal la kisigino halafu tubaki kulaumiana wenyewe kwa wenyewe. mi yangu macho na masikio.
mbona wewe hutaki kuchukua hatua na umebakia na macho na masikio yako !
 
EL anastahili kuja kusawazisha alipoharibu huyu JK wetu mtanashati na muungwana!!
 
Back
Top Bottom