Edward Lowassa ndani ya ITV saa 3 usiku leo

Edward Lowassa ndani ya ITV saa 3 usiku leo

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Mgombea Urais wa UKAWA Edward Lowassa leo atakuwa na kipindi maalum ITV saa 3 usiku kitakachokuwa kinazungumzia maisha yake,utendaji wake na ni nini atawafanyia wananchi akiingia Ikulu.

Edward Lowassa anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu Oktoba atazungumziwa katika kipindi kinachoitwa HUYU NDIYE LOWASSA.Kipindi hicho kinatayarishwa na mtangazaji mashuhuri Sam Mahela.

Kipindi hicho kitatangazwa muda huo huo kupitia Radio One kwa wale ambao hawatatazama Luninga.

Watanzania wanatakiwa kutokukosa kutazama kipindi hiki.
 
Umeme sasa babu wakuu wa intelegensia wanaweza kuamua kukata nch nzima.
 
Kama tu wameachia saa hizi na makofuli anatamba,bdae yaonekana watakata.
 
Natabiri TANESCO watakata umeme nchi nzima mda huo. Hata TANESCO wapate hasara they don't mind mradi tu lengo OVU litimie.
 
"Tanescrow" nao wameshakaa mkao wa kukata!
 
Rais wangu mpendwa wa awamu ya tano lazima nikutazame bila kukosa.
 
Mgombea Urais wa UKAWA Edward Lowassa leo atakuwa na kipindi maalum ITV saa 3 usiku kitakachokuwa kinazungumzia maisha yake,utendaji wake na ni nini atawafanyia wananchi akiingia Ikulu.

Edward Lowassa anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu Oktoba atazungumziwa katika kipindi kinachoitwa HUYU NDIYE LOWASSA.Kipindi hicho kinatayarishwa na mtangazaji mashuhuri Sam Mahela.

Watanzania wanatakiwa kutokukosa kutazama kipindi hiki.

Mkuu. Asante kwa taarifa. Mungu awe nawe.
 
Marudio lini mkuu..maana umeme huku muda huo hautakuwepo yaani inatia hasira sana dah.
 
Asante sana kwa taarifa. Tanesco nao wamepata habari sitoshangaa wakikata umeme Nchi nzima
 
Back
Top Bottom