Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,200
Je akiingia madarakani ataweza kulihutubia taifa kila mwisho wa mwezi kwa muda mrefu?
tatizo lako wewe umeanza kumjua lowasa baada ya kununuliwa ili umfanyie kampain kwenye mitandao au wewe ni wajana katika taifa hili
nakutuma
katafute hotuba yake ya kujiuzuru uwaziri mkuu ndo utajua lowasa sio msemaji au anaumwa?
achana na mungu yeye alijikita kwenye kuwapa sumu washindani wake kisiasa na yeye mungu amempa kiarusi chake ahangaike nacho ,malipo ni hapahapa duniani,
Heshima kwenu wana JF.
Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.
Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"
Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.
Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!
Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.
Naomba kuwasilisha.
Queen Esther
Kwani lazima autubie kwa muda mrefu hata kama n pumba? Cha msingi n point hata akiutubia kwa muda wa dk 5
Cha msingi n facts anazoongea kama zimeisha, kwani hotuba ndefu ni sifa hata kama n pumba?
Wewe esta kwa jinsi unavyoishambulia UKAWA, sitegemei una lolote la maana la kuwashauri.
Funga mabakuli yako fasta.
Wewe ulikaa miaka yote bila kufanyakazi ukisubiria maisha bora kutoka CCM???? Maisha bora unayatafuta mwenyewe kwa akili zako na juhudi zako. Watu wote wenye juhudi wamefanikiwa. Wewe endelea kunywa viroba subiria Lowassa na mke wake watakuletea maisha bora.
Hizo hotuba tulizopata kwa miaka 50 zimesaidia nini? Sasa hivi tunataka vitendo tuuJe akiingia madarakani ataweza kulihutubia taifa kila mwisho wa mwezi kwa muda mrefu?
Heshima kwenu wana JF.
Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.
Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"
Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.
Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!
Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.
Naomba kuwasilisha.
Queen Esther
Mbona we mgumu kuelewa, umeambiwa kikao kilikuwa cha akina mama, wanaume wote walialikwa. Kwa hiyo zaidi ya kuomba wamtafutie kura ukitaka aongee nini kingine? Au ulikuwa na mambo yako ambayo ulitaka kuyasikia lakini hayakusemwa? Nakushauri uende Jangwani jumamosi ya tarehe 29 August huenda kiu yako ikakidhi.Lowassa pumba kabisa, cjategemea alichokifanya. Nilitegemea kwel atakuja na hizo hoja za ukomboz lkn kafanya mambo ya kitoto kabisa, theme na alichokifanya ni upuuzi mtupu.
Kila mtu na maumbile yake.Kuna waongeaji wazuri na kuna wengine si waongeaji.Ni hulka ya.watu kuwa.tofauti.Lowassa aonekanavyo si muongeaji sana.Sijawahi msikia akiongea kama mwanasiasa hata alivhokuwa CCM so siwezi kumuhukumu kwa maumbile yake.