Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,206
- 1,465
- Thread starter
-
- #261
Hanna akili! Mlitaka akidhi kiu yenu wakati kampeni haijazinduliwa? Angeeleza kwa basis IPI ilihali ilani ya uchaguzi haijatangazwa. Huhitaji PhD kujua hili!
Yaani leo nimeamini kwamba Lowasa hana uwezo wa kujena hoja. Leo kaishia kusema kuwa anadeka kwa akina mama waliohudhuria mkutano wa BAWACHA
Mgombea wao ni fixed asset aka immobile..hawezi kutoka nje ya jiji..huyu alipaswa kukabidhiwa jimbo moja dar agombee ubunge
Kwa hiyo lile TANGAZO la Mwenyekiti wa BAWACHA Madame Halima Mdee ilikuwa anapinga usanii????
Queen Esther
katika moja ya hotuba za mbowe aliwah kusema hawawezi kumpokea bubu... leo nmeamin
Ameingea point nzuri sana amewaagiza wanawake wadiscuss changamoto znazowakabili then wawasilishe....
katika moja ya hotuba za mbowe aliwah kusema hawawezi kumpokea bubu... leo nmeamin
nyie mnaojua kuongea ndio mliotufikisha hapa miaka 53 ya uhuru,teh teh teh teh
thubutu!cha msingi jumamosi tunataka lowasa apewe saa nzima ya kuhutubia pale jangwani. Ili atupe sera na mipango mbalimbali iliyopo katika ilani ya ukawa. Kitendo cha yeye kupewa muda mfupi hakifai...
Angeanza kusimulia hadithi za kufumaniwa kama za magufuli au za mbayuwayu
kama za Kikwete Urefu wa hotuba ungezidi tu.
Ukiona kiongozi anaongea sana tambua huyo si mtekelezaji mara zote yule asiye ongea sana ndiye mtekelezaji ni ukweli usiopingika