Hasa kama "remote" yenyewe ina "batteries" mpya! Nisome unielewe vizuri KK. Usirukie kunijadili mimi. Jikite kwenye hoja yangu tu.kwa hiyo kwa mtazamo wako wewe ukihudhuria kwa remote ndio unakua na nguvu nyingi zaidi kuliko ukiwa mmoja wa wajumbe wanaoshiriki kufanya maamuzi sio?hapo ndio unapozidi auchanganya mambo mzee,leo naona ungepumzika tu hauko sawa kabisa aise sijui ulilala wapi usiku wa kuamkia leo
Nashukuru kwa kuifafanua vizuri hoja yangu mwalimu KK. Sekretariet ina watu wachache zaidi kuliko CC. Nadhani kwa muundo wa sasa hawafiki 10. Iweje mazungumzo yavuje kirahisi hivo na wasimjue msaliti wao! KK, kwa nini kura za maoni CCM zinarudiwa? Ni kweli Mwigulu simfahamu. Ni mtu mpya sana ndani ya CCM na sio kada.
Hasa kama "remote" yenyewe ina "batteries" mpya! Nisome unielewe vizuri KK. Usirukie kunijadili mimi. Jikite kwenye hoja yangu tu.
KK,hoja yako ya msingi ni ipi hasa?lowassa kujua siri mapema za kilichozungumzwa kwenye sekretariet na lowassa kuwa na nguvu?kwa sababu nimekwambia kama kujua siri mapema hata sisi hapa jf tumo au kubenea na gazeti lake mbona wanapata siri za ndani mpaka waliwahi kuvunja rekodi kikao cha watu watatu tu akiwemo jk kilifanyika ikulu kuelekea uchaguzi 2010 mwanahalisi wakakiweka hadharani ina nao wana nguvu hizo?
Mi nadhani ni kuweza kuzuia maamuzi halali ya vikao au kuzuia hoja za athari kwako zisijadiliwe au kufikishwa kwenye vikao lakini kama umepoteza nguvu hiyo wewe unabaki kuwa nyoka wa kibisa tu,unatisha kwa kuwa ni nyoka lakini huna madhara yeyote hata ukijua siri mapema.
Pia unajichanganya tena unaposema mwigulu sio kada,hivi kada maana yake nini labda?ni mtu aliyewahi kuwa waziri mkuu ndio anaitwa kada au kada wa ccm ni mtu wa aina gani,naomba ufafanuzi hapa.
Huyu naye (kwenye Kijani) ndo nani au ni kijana wa EL:lol:?!
Mtakufa kwa BP nyie na chuki zenu dhidi ya EL.Naona hamumjui EL
KK,
CCM ilikuwa na vyuo vyake kwa ajili kuandaa makada wake. Chuo kikubwa kabisa kilikuwa hiki cha hapa Kivukoni. Ulikuwa ukihitimu huko ndipo unaitwa kada. Siku hizi hata RA niliwahi kusikia anaitwa kada! Tuyaache hayo. Hayako kwenye maudhui ya uzi huu.
Usije ukadhani kila kinachoandikwa kwenye magazeti na hasa MwanaHalisi ni cha kweli.
KK,hakuna nilipokujadili baada nashangaa tu leo umepatwa na nini kwani ninakuelewa ni mtu unaetoa hoja zenye mashiko daily lakini sasa ninapoona mtu kama wewe unajaribu kuamini bila mafanikio kwamba ukishiriki kikao kwa remote ndio unakuwa na guvu zaidi kuliko wajumbe wanaoshiriki kushindana kwa hoja na kuibuka na maamuzi ..hiki kinaweza kuonekana ama kutafsiriwa kama kioja cha kufungiwa mwezi february 2012!
Nguvu ya Lowasa iko kila mahali kuanzia humu JF. Ndio maana hatuishi kumtaja karibu kila siku. Kila TAASISI au KIKAO cha CCM Lowasa ana nguvu ya peke yake. Nilikwenda Bungeni kikao cha bajeti mwaka jana, Wabunge wengi wanamwabudu na kumsujudia Lowasa.ila nidhani kila anachokisema lowassa kuhusu "nguvu" zake ama wapambe wake ndio cha kweli tena kweli tupu sio?
huyu EL sijui km atatoboa 2015, asiporest inside peace kwa presha bas ni kwa ugonjwa wa moyo au kwa maini kuungua na mawisk anayobwia,Mtakufa kwa BP nyie na chuki zenu dhidi ya EL.Naona hamumjui EL
Safari hii hakuna pa kupumulia!!!
hii nchi utasema ni kaole sanaa group...sasa....
Hivi kweli mimi hapo ndiyo nashindwa kabisa kuelewa kuwa Takukuru ipo kwa
ajili ya wanyonge tu?sasa kama huyo Katibu alikuwa akiwasiliana na Lowasa kwanini atiwe nguvuni Katibu
pekeyake na Lowasa aachwa ni kwakuwa yuko juu ya sheria?
KK,
Kura za maoni AruMeru Mashariki kwa wagombea wa CCM zinarudiwa kwa nini? Sababu alooitoa Nape sio. Vinginevyo watu kama Kigwangala waliteuliwaje kugombea na CCM hiyohiyo na kanuni hiyo ikiwepo!
Hii habari ni UDAKU TUPU.Haina credible source zaidi ya chuki.