Edward Lowassa atangaza rasmi mbio zake za urais 2015...

Kwa maongezi hayo, ukisema hivyo kanisani inamaana kuwa; mum-ombee katika safari ya kwenda mbinguni maana anamajaribu mengi na mapito magum ya kidunia.
YUPO KATIKA SAFARI YA KWENDA MBINGUNI.

yap. ni tafsir sahh pia. kumbe zipo nyng
i.urais. ii.mashindano km marathon nk iii.mbingun
 
Millioni mia moja hamsini na mbili ( mil.152/- )bila umeme kuwaka na alitaka kuanzisha mradi wa mvua kwa kutumia mabomu wenye gharama isiyoelezeka. Urais ausikie kama uchi wa mamamkwe wake sio kuuona.
 
Na huyo ndiye anataka kuwa Rais wa JMT? Kwani maoni ya serikali 3 ni ya Warioba au Watz? Akiwa Rais si ataikanyaga Katiba badala ya kuilinda?

Katika hili nadhani kila mtu ana uhuru wa kuongea, taabu ni kwamba mzee el anaongea kwa dhamila ya kuona yake yanatendeka na ni kweli anaweza kuisigina katiba endapo atakaa pale magogoni
 
Lowassa Lowassa please naomba kwa sasa upumnzike kwani tayari 2015 tayari wewe ni rais weka nguvu kwa ajili ya kujiandaa kuapishwa Mr prezda....walai Membe akipewa Nchi hii naenda kuishi kenya na jinsi nilivyo mjaluo I just cross the border, siwezi kukubali kutawaliwa na weak leader, kiongozi asiwe na hata hulka ya uongozi aende akawe kiongozi ya familia ya Mama salma jamaa akistafu
Wajaluo hawana akili za kushadadia wala rushwa, wauza sembe na watu waliokosa uzalendo. Wewe mwenzetu labda umeazima ukabila Membe, Lowasa na hao wezi wenu wote hawafai.
 
ameboronga sana alipokataa serikali 3 , amepingana na asilimia 64 ya watanzania na amekubalia na asilimia 36 !

EL anapaswa akubali kuwa yeye alikuwa sehemu ya asilimia 36 ambao wamepigwa chini na watz walio wengi. Anachokifanya ni kujaribu kutumia umaarufu wake kama veto. Huyu akiwa Rais hata beberu la mbuzi halitaruhusiwa kupanda.
 
Lowassa Lowassa please naomba kwa sasa upumnzike kwani tayari 2015 tayari wewe ni rais weka nguvu kwa ajili ya kujiandaa kuapishwa Mr prezda....walai Membe akipewa Nchi hii naenda kuishi kenya na jinsi nilivyo mjaluo I just cross the border, siwezi kukubali kutawaliwa na weak leader, kiongozi asiwe na hata hulka ya uongozi aende akawe kiongozi ya familia ya Mama salma jamaa akistafu
Lakini jamaa si ni mgonjwa huyu? Mediclinic tena si gharama hiyo
 
Sasa itakuwaje na yeye katoka Kaskazini..!!!
Inamaana hamkumbuki Kauli ya baba wa Taifa..!!!??
 
Chadema haitakubali kumuachia nchi FISADI aliyethibitishwa bila shaka yoyote na bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania , na hata yeye mwenyewe kukiri na kutimua mbio !
 
Hii nchi bado itaendelea kuwa ya kimaskini, utawala wa kibabe, nchi ya wauza unga, wababaishaji na watu wanaopenda kufanikiwa kupitia uchawi wa albino na mishentown. kama watu wanaojidai wasomi bado wanaona watu kama Lowasa eti ndio watakaobadilisha nchi hii wakati ni sehemu ya utawala ulioshidwa hii ni tatizo kubwa.

Hivi mtu unakuwa unaiwaza Tanzania katika kiwango gani cha ukomo wa maendeleo inayoweza kufikia mpaka uwaze eti walioshindwa kuongoza ndio watakaoitoa nchi hii kwenye umaskini ilokuwa nayo. Hivi tokea CCM ianze kushinda chaguzi za urais kuna mabadiko yoyote makubwa yaliyotokea yanayoweza kukubashiria kuwa watafikisha nchi kuwa nchi iliyoendelea? Si kwamba tuna umaskini wa fikra tu kuendelea kuifikiria CCM kama chama cha kuendelea kuongoza dola? Ni sawa na maskini asiyeweza kufikiri kuutoa umaskini katika maisha yake kwani kufanya huko ni kitu kisichoweekana hivyo anaridhika na umaskini wake.
 
Back
Top Bottom