Edward Lowassa Amezuru katika ubalozi wa Cuba Kuwapa pole Wananchi wa nchi hiyo

kama namuona pogba alivyonuna huko kwanini ubalozi wa cuba umemruhusu umemruhusu kuingia na kumtambua kama kiongozi. NASUBIRI TAMKO!
 
roho mbaya inakusumbua

Ukitaka kujua roho mbaya ilivyo tazama kucha za vidoleni na Nywele zake Mwakyembe pia Tathmini Afya ya Mzee Prof Mwandosya

Kama sio watu wako wa karibu muulize Kubenea kadhia ya kukoswa koswa kupofushwa Macho kwa kumwagiwa Tindikali wakati wa Kashfa ya Richmond
 
Dah kwa hiyo hapa mkuu unamaanisha mwenye nywele zake nyeupe ndiye kafanya haya yote ?

Vipi kwa Ulimboka,Sita,Absolom Kibanda ,Prof Juan Mwakiyusa ,Dr Mvungi,William Mgimwa ,Lowasa ,Deo Filikunjombe nk ?
 
Nimzee Mwenye hekima , Mwenye upendo na mpole... Utendajiwake umetukuka..... Nampenda sana ...... Kagera alienda , mtukufu akabaki kutuma ujumbe..... Nasasa Cuba kaenda .mtukufu katuma ujumbe ....... Huwezi kumlinganisha Edo na mtukufu..... Baba mungu akulinde bado tunakuhitaji.....
 
Ukitaka kujua roho mbaya ilivyo tazama kucha za vidoleni na Nywele zake Mwakyembe pia Tathmini Afya ya Mzee Prof Mwandosya

Kama sio watu wako wa karibu muulize Kubenea kadhia ya kukoswa koswa kupofushwa Macho kwa kumwagiwa Tindikali wakati wa Kashfa ya Richmond
Pohamba vinavyokuendesha leo ni chuki binafsi na siyo vinginevyo. Je hayo unayosema leo ukiambiwa udhibitishe utaweza? tufanye siasa lakini siyo siasa nyepesi kama pamba unazotaka kufanya wewe.
 
Vipi wakuu hivi huyu mzee wetu alishawahi kwenda hata pale gerezan arusha kumjulia hali kamanda Lema au lema amekuwa mbuzi wa kafara ukizingatia alimuongelea vibaya mamvi kipindi akiwa ccm?? nauliza tu.
 
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Edward Lowassa leo jumamosi ya tarehe 3 Disemba amezuru katika Ubalozi wa Cuba na kuungana na viongozi wengine duniani kulipa pole taifa la Cuba kwa kuondokewa na muasisi wake na rais wake wa kwanza Ndugu Fidel Castro.

Afisa Habari unafuatilia sana habari za Mgombea wako aliyekataliwa na CCM na Wananchi pia. Lakini promo ya kwenye JF haitasaidia kitu Kabisa. UKAWA haupo tena na katu hamtaibuka!! Ndio imetoka hiyo labda 2055
 
Huyu mara ujeruman, mara sauz kumpeleka mdogo wake kutibiwa..mara Cuba..huyu angekuwa rais ingekuwa Vasco da gama part 2
 
Back
Top Bottom