Edward Lowassa Amezuru katika ubalozi wa Cuba Kuwapa pole Wananchi wa nchi hiyo

Watu waovu ndo style yao ku-pretend watakatifu,siku ukisikia anayoyafanya huwezi kuamini abadani.

Sisi tulifundishwa kuwa usimuhukumu mtu. Mungu tu anayejua nani anadhambi na nani hana. Wewe binafsi jifikirie mpaka mda hakunadhambi yeyote ulioifanya. Yumeambiwa vile vile unaweza kufanya dhambi hata kwa mawazo na hata kwa kuto kutimiza wajibu wako. JITAFAKARI KABLA YA KUHUKUMU. Asiyekuwa na dhambi ni Mungu peke yake
 
Utu wa Mwanasiasa haupimwi wakati wa Kutongoza kura ukitaka kujua Utu wa huyo Mtu mtathmini Jeuri yake akiwa Waziri Mkuu,

alishawahi kuingilia mpaka ujenzi wa barabara ya Sam Nuyoma kwa kuagiza wapi pa kuweka mitaro na wapi pia kuchimba mifereji kwny Ziara zake za kustukiza mpaka Yule Mkandarasi Singasinga akawa anashangaa.

Ndie alieasisi utaratibu wa kudhalilisha Viongozi wa chini kwny Mikutano ya hadhara na aliwahi kukwaa Kisiki kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana 2006 aliemwambia usinifundishe Kazi nimeanza kuwa DC 1969 wakat wa Mwl ukiwa bado upo Shule ya Msingi.

Siku hizi kapoa sana kwa kuwa Hana Madaraka na anavizia vizia kura. Kiongozi wa Ngazi za Juu aliekuwa Mnyenyekevu wa zama zote tangu akiwa Madarakani hapa Nchini ni Mzee Ally Hassan Mwinyi pekee
 
Mahaba yakizidi unakuwa ujinga na utumwa, sasa kuhudhuria mazishi ndio kigezo cha kuwa MTU wa watu?? Hebu bhana kuweni waelewa, isijetokea siku aonekane akila Chakula muanze kumpongeza!!

Mwambie Pogba akawape pole Bukoba
 
Utu wa Mwanasiasa haupimwi wakati wa Kutongoza kura ukitaka kujua Utu wa huyo Mtu mtathmini Jeuri yake akiwa Waziri Mkuu,

alishawahi kuingilia mpaka ujenzi wa barabara ya Sam Nuyoma kwa kuagiza wapi pa kuweka mitaro na wapi pia kuchimba mifereji kwny Ziara zake za kustukiza mpaka Yule Mkandarasi Singasinga akawa anashangaa.

Ndie alieasisi utaratibu wa kudhalilisha Viongozi wa chini kwny Mikutano ya hadhara na aliwahi kukwaa Kisiki kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana 2006 aliemwambia usinifundishe Kazi nimeanza kuwa DC 1969 wakat wa Mwl ukiwa bado upo Shule ya Msingi.

Siku hizi kapoa sana kwa kuwa Hana Madaraka na anavizia vizia kura. Kiongozi wa Ngazi za Juu aliekuwa Mnyenyekevu wa zama zote tangu akiwa Madarakani hapa Nchini ni Mzee Ally Hassan Mwinyi pekee
roho mbaya inakusumbua
 
Back
Top Bottom