Edward Lowassa Amezuru katika ubalozi wa Cuba Kuwapa pole Wananchi wa nchi hiyo

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Edward Lowassa leo jumamosi ya tarehe 3 Disemba amezuru katika Ubalozi wa Cuba na kuungana na viongozi wengine duniani kulipa pole taifa la Cuba kwa kuondokewa na muasisi wake na rais wake wa kwanza Ndugu Fidel Castro.

FB_IMG_1480759711452.jpg
 
Huyu mzee ni mtu wa watu sana aisee..Tuweke siasa pembeni, huyu mzee ana utu wa pekee na ni vyema tujifunze kwake kwa mambo mbalimbali.

Ndo nini sasa tueleze alichokifanya na cha kujifunza ni kipi.............................umeniudhi sana japo nampenda Lowassa ila sio kwa uandishi namna hii
 
Mahaba yakizidi unakuwa ujinga na utumwa, sasa kuhudhuria mazishi ndio kigezo cha kuwa MTU wa watu?? Hebu bhana kuweni waelewa, isijetokea siku aonekane akila Chakula muanze kumpongeza!!
 
Back
Top Bottom