Edward Lowassa akosoa uongozi wa Rais Magufuli

Lowassa anapinga bilioni 2 za sherehe za Muungano kujenga barabara, badala yake alitaka watu wakaserebuke na kuzitumbua hizo fedha.

Hayo ndiyo maneno ya mtu aliyetaka kuleta mabadiliko TZ!

- Amlalamikia Rais Magufuli kugawa fedha kwa shughuli mbalimbali wakati chombo chenye mamlaka kugawa fedha kipo ambacho ni bunge.(Pesa za uhuru na Pesa za Muungano)

- Asikitishwa na uachishwaji wa kazi kwa wafanyakazi, asema hali ngumu ya uendeshaji wa mashirika hayo ndio usababisha utendaji hafifu.

- Asononeshwa na hali ngumu ya maisha mtaani.

- Asikitishwa na ushukaji wa huduma ya Bandari kushuka kwa asilimia 50 na kusababisha vijana wengi kusota mtaani.

- Kitendo cha wahisani kujitoa kuisaidia nchi asema n i pigo kubwa kwetu kwa mustakabali wa uchumi wa nchi.

- Asema si kweli kwamba uongozi wa Rais mstaafu Kikwete kila mtu alikuwa mla rushwa, ni kweli mfumo ule ulikuwa mbovu na wa kifisadi.
Yaani wewe unajifanya kubana 2 bilin ambazo

Ni geresha tuuu hazipo!!

lakini unatumia Bilon 7 kwa uchaguzi hewa ???

Hapa mbwembwe Tui
 
Lowasa lacks moral authority to criticize Magufuli
 
jana 7/04/2016 wanazuoni wa ndani na nje yanchi wanaofanya utafiti kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, kiuchumi, utawala bora na ushindani wa kisiasa kwa kuzungumza na watu kutoka vyama mbalimbali na Viongozi wa Serikali wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) walimtembelea nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu wa zamani aliyeshinikizwa kujiuzulu kwa kashfa ya RICHMOND na aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) baada ya kukatwa na CCM kutokana na taswira yake ya UADILIFU kwa Wananchi kuwa mbaya, EDWARD LOWASSA na kufanya naye mahojiano.
Katika Mahojiano hayo, LOWASSA aliyataja mambo matano yanayomfanya autilie shaka mustakabali wa Taifa chini ya Uongozi wa Rais wa Awamu ya Tano, Dr. John Pombe Magufuli. Ameyataja mambo hayo kuwa ni pamoja na Rais kugawa fedha wakati chombo cha kufanya hivyo kipo, watumishi kuachishwa kazi, upitishaji mizigo Bandari ya Dar es Salaam kushuka, nchi kunyimwa misaada, na ugumu wa maisha unaowakabili wanachi kwa sasa.

HAYA NI MANENO YA MFA MAJI. Mawazo kugawa pesa hayawezi kuisha kichwani mwa LOWASSA, alizoea kufanya hivyo ili kujipatia makundi ya kumuunga mkono kwenye harakati zake za klsiasa. ALIGAWA PESA sana kwenye taasisis za dini, baadhi ya watumishi wa Umma n,k. Anafikiri na Rais naye anafanya aliyoyafanya yeye. LOWASSA atambue kuwa fedha kwa ajili ya sherehe za Bunge, Uhuru, Muungano zipo kisheria, zilipitishwa na Bunge. Rais alichokifanya ni kubadilisha matumizi ya pesa hizo kutoka matumizi yasiyo na tija kwenda kwenye matumizi yenye tija. Lowassa anataka kutuambia hizo sherere ni muhimu kuliko vitanda mahospitalini na ujenzi wa barabara?

Lowassa hakuwahi kufanya biashara yoyote zaidi ya kuwa mtumishi ndani ya CCM na Serikalini. utajiri wake alionao na anaojivunia unatokana na UFISADI wake ndani ya chama na SERIKALI(KWA MANENO MENGINE , HAKUWA MWADILIFU KATIKA UTUMISHI WAKE). Ingeshangaza sana kuona anafurahia watumishi wazembe, Mafisadi na wala Rushwa kama alivyokuwa yeye wakiwajibishwa na Serikali yoyote ile acha hii ya JOHN POMBE MAGUFULI. Mafisadi wenzake watamuunga mkono kwa kauli yake kuhusu watumishi wabadhilifu kuchukuliwa hatua lakini Watanzania tulio wengi tunamuona kama anadhihirisha kuwa HAKIKA ALIKUWA FISADI.

Lipi bora? Upitisahaji mizigo Bandari ya Dar es Salaam kuongezeka mara dufu lakini tukakosa kodi au ukapungua mara dufu lakini kodi itokanayo na mizigo hiyo michache ikazidi ile mizigo mingi? Huku kote ni kutapatapa tu, ni kudhihirisha kuwa NI MUUMINI WA UFISADI.

Namna ya uzuiaji wa misaada uliofanywa na Marekani umejadiliwa sana. LOWASSA anataka kutudhihirishia yale yaliyosemwa na wengi sana kuwa YEYE ni KIBARAKA katika sakata hili.

Rais Magufuli Mungu akimuweka hai ataiongoza Tanzania kwa zaidi ya siku 1825. Ndiyo kwanza ameshaongoza siku 155 tu. maisha gani magumu wanayo wananchi kwa kipindi hicho cha siku 155 ukilinganisha na siku zilizotangulia? Hapana shaka thamani ya sarafu yetu imeimarika, kwa kipindi hicho, bei ya vyakula imeendelea kuwa pale pale na mahali pengine kushuka, Umeme na mafuta vimeshuka bei , n.k. LOWASSA anaishi wapi asiyaone haya?

KWA KASI YA MAGUFULI, MIAKA 5 NI MICHACHE SANA. LOWASSA NI LAZIMA AONGEE ANGALAU AONEKANE YUPO LA SIVYO ANAWEZA KUPOTEA GHAFLA ILA KWA KAULI ZAKE NI DHAHIRI NI MFA MAJI, ANATAPATAPA TU.
 
Roho zinawauma sana mkisikia jina Lowassa, OK sababu ya kuongeza ruzuku ya upinzani na kupunguza ruzuku ya CCM kwa ratio ya 60% to 40%
 
Barua ndefu kama hii.
 
Huyu babu badala ya kupumzika anajitafutia balaa kwa simba aliyelala
 
Lowasa ni mtanzania na ana haki kikatiba kutoa mawazo yake nashangaa we umetoka nje ya mada alioizungumza ndugu acha mihemko
 
Nadeclare, mimi siyo mwanachama wa CCM au chama chochote cha Upinzni, ila ni Mtanzania anaeangalia Taifa likisonga. Sikumaliza kusoma maelezo yako nikagundua una ushabiki na andiko lako liko BIASED. ungechambua muktadha wa mahojiano kwanza kuliko kujaza maneno mengi ambayo kila Mtanzania anayajua. Paragraph yako ya kwanza imetaja KUJIUZULU na pia Neno RICHMOND, ambapo kila Mtanzania anajua hayo.
Ungeenda kwenye hoja ditectly nini kilizungumzwa, halafu maoni ya mtu huwez kulazimishwa kuyachukua. Biasness haiko vizuri kama kweli unataka mjadala wa kujenga hoja.

Baada ya hapo nitasoma andiko nijifunze nini kilizungumzwa
 
jana 7/04/2016 wanazuoni wa ndani na nje yanchi wanaofanya utafiti kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, kiuchumi, utawala bora na ushindani wa kisiasa kwa kuzungumza na watu kutoka vyama mbalimbali na Viongozi wa Serikali wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) walimtembelea nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu wa zamani aliyeshinikizwa kujiuzulu kwa kashfa ya RICHMOND na aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) baada ya kukatwa na CCM kutokana na taswira yake ya UADILIFU kwa Wananchi kuwa mbaya, EDWARD LOWASSA na kufanya naye mahojiano.
Katika Mahojiano hayo, LOWASSA aliyataja mambo matano yanayomfanya autilie shaka mustakabali wa Taifa chini ya Uongozi wa Rais wa Awamu ya Tano, Dr. John Pombe Magufuli. Ameyataja mambo hayo kuwa ni pamoja na Rais kugawa fedha wakati chombo cha kufanya hivyo kipo, watumishi kuachishwa kazi, upitishaji mizigo Bandari ya Dar es Salaam kushuka, nchi kunyimwa misaada, na ugumu wa maisha unaowakabili wanachi kwa sasa.

HAYA NI MANENO YA MFA MAJI. Mawazo kugawa pesa hayawezi kuisha kichwani mwa LOWASSA, alizoea kufanya hivyo ili kujipatia makundi ya kumuunga mkono kwenye harakati zake za klsiasa. ALIGAWA PESA sana kwenye taasisis za dini, baadhi ya watumishi wa Umma n,k. Anafikiri na Rais naye anafanya aliyoyafanya yeye. LOWASSA atambue kuwa fedha kwa ajili ya sherehe za Bunge, Uhuru, Muungano zipo kisheria, zilipitishwa na Bunge. Rais alichokifanya ni kubadilisha matumizi ya pesa hizo kutoka matumizi yasiyo na tija kwenda kwenye matumizi yenye tija. Lowassa anataka kutuambia hizo sherere ni muhimu kuliko vitanda mahospitalini na ujenzi wa barabara?

Lowassa hakuwahi kufanya biashara yoyote zaidi ya kuwa mtumishi ndani ya CCM na Serikalini. utajiri wake alionao na anaojivunia unatokana na UFISADI wake ndani ya chama na SERIKALI(KWA MANENO MENGINE , HAKUWA MWADILIFU KATIKA UTUMISHI WAKE). Ingeshangaza sana kuona anafurahia watumishi wazembe, Mafisadi na wala Rushwa kama alivyokuwa yeye wakiwajibishwa na Serikali yoyote ile acha hii ya JOHN POMBE MAGUFULI. Mafisadi wenzake watamuunga mkono kwa kauli yake kuhusu watumishi wabadhilifu kuchukuliwa hatua lakini Watanzania tulio wengi tunamuona kama anadhihirisha kuwa HAKIKA ALIKUWA FISADI.

Lipi bora? Upitisahaji mizigo Bandari ya Dar es Salaam kuongezeka mara dufu lakini tukakosa kodi au ukapungua mara dufu lakini kodi itokanayo na mizigo hiyo michache ikazidi ile mizigo mingi? Huku kote ni kutapatapa tu, ni kudhihirisha kuwa NI MUUMINI WA UFISADI.

Namna ya uzuiaji wa misaada uliofanywa na Marekani umejadiliwa sana. LOWASSA anataka kutudhihirishia yale yaliyosemwa na wengi sana kuwa YEYE ni KIBARAKA katika sakata hili.

Rais Magufuli Mungu akimuweka hai ataiongoza Tanzania kwa zaidi ya siku 1825. Ndiyo kwanza ameshaongoza siku 155 tu. maisha gani magumu wanayo wananchi kwa kipindi hicho cha siku 155 ukilinganisha na siku zilizotangulia? Hapana shaka thamani ya sarafu yetu imeimarika, kwa kipindi hicho, bei ya vyakula imeendelea kuwa pale pale na mahali pengine kushuka, Umeme na mafuta vimeshuka bei , n.k. LOWASSA anaishi wapi asiyaone haya?

KWA KASI YA MAGUFULI, MIAKA 5 NI MICHACHE SANA. LOWASSA NI LAZIMA AONGEE ANGALAU AONEKANE YUPO LA SIVYO ANAWEZA KUPOTEA GHAFLA ILA KWA KAULI ZAKE NI DHAHIRI NI MFA MAJI, ANATAPATAPA TU.
2020 Lowassa asipoangalia atahamia ACT-WAZALENDO.
 
Mada ya aina hii ni kama kumuongezea kick Lowasa. Tuseme hadi leo hii Lowasa matters? Ni kama Habarileo lilivyoweka habari ya Mbowe front page kama habari kuu. Yaani kauli za jamaa hawa zinafuatiliwa kama kipimo cha serikali ya JPM kiutendaji!
 
Mzee Lowassa ameongea point sana!Lakini mazwazwa yamepagawa kusikia mzee anatema madini!
 
Watu wa kanda ya Maziwa wang'ang'aniaji wa madaraka.Nkurunziza,Museven,Kagame,Kabila na sasa Magufuli wanataka kumwanbukiza!
Na bado mbona Magufuli awajambisha sana awamu hii ya tano.
 
Mkuu
Inaelekea Mtiifu Mh Lowassa anakunyima amani kwenye Utu wako au familia yako..
Utakufa nakinyongo/chuki zako..neno/jina LOWASSA ATABAKIA DAIMA
Mtiifu kwa akina KITILLYA, BASHIR AWALE NA SIOI SUMARI
 
Back
Top Bottom