Akili ya wizi si ndo mnamaanisha au?Unafikiri watakuelewa??
Akili ya wizi si ndo mnamaanisha au?Unafikiri watakuelewa??
MTU yeyote successful kiuchumi... Kielimu ni smart sana!! Sema hawa waliofukiwa mawazo na akili zao Bagamoyo na akina Forojo Ganze wataishia kula viwavi siku zote za maisha yao!!!Unafikiri watakuelewa??
Kwahiyo kuna PESA isiyoidhinishwa na bunge ktk matumizi ya budget ya serikali kwa mwaka wa fedha? Wewe ni mfu kabisa!!!Ujue Lowasa mimi huwa namuona kama hajitambui vile sijui nani kamroga anaongea pumba tupu yani hajui hata pesa ipi inatakiwa kuidhinishwa na bunge na pesa gani ipo kwenye mamlaka ya Rais,mtu mzima hovyo kabisa.
Kwani Mimi nimeongea kuhusu kuzifuta au nimeongelea matumizi ya PESA? Wewe nae ni zamwamwa kwani umeshindwa kuelewa content ya message yangu!!Uwe unasoma kwa makini amesema ANA UWEZO WA KUZIFUTA sio kwamba kazifuta.
MTU yeyote successful kiuchumi... Kielimu ni smart sana!! Sema hawa waliofukiwa mawazo na akili zao Bagamoyo na akina Forojo Ganze wataishia kula viwavi siku zote za maisha yao!!!
Hata kama ni mahaba wakati mwingine tumia akili yako vyema, hivi unaona ni sahihi mtu mmoja kujiamulia mambo kwa mustakabali wa taifa? Kama ni kubana matumizi angezuia sherehe hizo fedha bunge lijadili wapi zitumike.
Hata kama ni mahaba wakati mwingine tumia akili yako vyema, hivi unaona ni sahihi mtu mmoja kujiamulia mambo kwa mustakabali wa taifa? Kama ni kubana matumizi angezuia sherehe hizo fedha bunge lijadili wapi zitumike.
Hakuna aliempa mamlaka ya kujiamulia wewe, amepewa mamlaka ya kufuata sheria na katiba, acha uzwazwa kama mmeamua ajiamulie, katiba mpya mnaihitaji ya nini?Ni sahihi ndio kujiamulia si tumempa hayo mamlaka tatizo lenu nini.. Kama mlikuwa mnaigiza maamuzi magumu haya sasa ndio maamuzi magumu original. Mpoo!
Hivi ulisema hivyo mbona yeye alififia haraka zaidi kuliko waziri mkuu yoyote aliyewahi kutokea nchi hii.Lowassa amejaliwa akili sana kitu kinachomtofautisha na wengine wengi....
Ni kweli Magufuli hana vision ndio maana ameanza kufifia!!!
Ameingilia mamlaka ya bunge, hela za miradi ya maendeleo huamuliwa na bunge kupelekwa kwenye wizara iliyo hitaji hizo hela, hivi unajua ni kaiasi gani cha pesa ambacho wakandarasi wanadai na hawajalipwa? kwa nini hizo pesa zisitumike kulipa hilo deni? Unajua ni kiasi gani cha wizara ambacho hakijalipwa kufikia hata 50% ya bajeti waliyowakilisha. Acheni unafiki Tanzania sio Dar peke yake, kuna barabara nyingi mikoani zimekwama kwa sababu ya ukosefu wa fedha, maisha ya watanzania ni kwa watanzania sio wana Darisalama mkuu.Weka hicho kifungu cha Katiba kinachomnyima Raisi huwo uwezo, ili tuone ni kama Raisi kavunja Katiba au la, uweke kweli hicho kifungu kinyume na hapo utakuwa ni kilaza tu kama vile fisadi Lowasa, hivyo nasubiri uweke kifungu kilichovunjwa !
Lowassa anapinga bilioni 2 za sherehe za Muungano kujenga barabara, badala yake alitaka watu wakaserebuke na kuzitumbua hizo fedha.
Hayo ndiyo maneno ya mtu aliyetaka kuleta mabadiliko TZ!
- Amlalamikia Rais Magufuli kugawa fedha kwa shughuli mbalimbali wakati chombo chenye mamlaka kugawa fedha kipo ambacho ni bunge.(Pesa za uhuru na Pesa za Muungano)
- Asikitishwa na uachishwaji wa kazi kwa wafanyakazi, asema hali ngumu ya uendeshaji wa mashirika hayo ndio usababisha utendaji hafifu.
- Asononeshwa na hali ngumu ya maisha mtaani.
- Asikitishwa na ushukaji wa huduma ya Bandari kushuka kwa asilimia 50 na kusababisha vijana wengi kusota mtaani.
- Kitendo cha wahisani kujitoa kuisaidia nchi asema n i pigo kubwa kwetu kwa mustakabali wa uchumi wa nchi.
- Asema si kweli kwamba uongozi wa Rais mstaafu Kikwetu kila mtu alikuwa mla rushwa, ni kweli mfumo ule ulikuwa mbovu na wa kifisadi.
...eti maanayake nini..? hata Obama anakosolewa ijekuwa Magufuli...?? alichosema Lowassa matumizi lazima yaidhinishwe na bunge na sio kupanga na kujitekelezea mwenyewe. kesho akisema anataka bilioni mbili zikakarabati nyumba yake pia usijekuhoji...
Huyu kafanikiwa kwa wizi....watoto,wakwe na wajukuu wezi...njoo kisutu hapa shemejio Sioi anatafuta dhamana.MTU yeyote successful kiuchumi... Kielimu ni smart sana!! Sema hawa waliofukiwa mawazo na akili zao Bagamoyo na akina Forojo Ganze wataishia kula viwavi siku zote za maisha yao!!!
Amekuwa mfalme njozi ama ana maono ya kinabii.Hakika historia itawahukumu.
Amesema Magufuli atavuma kwa kipindi kifupi kwani hana vision.