Edward Lowassa akosoa uongozi wa Rais Magufuli

Edward Lowassa akosoa uongozi wa Rais Magufuli

Weka hicho kifungu cha Katiba kinachomnyima Raisi huwo uwezo, ili tuone ni kama Raisi kavunja Katiba au la, uweke kweli hicho kifungu kinyume na hapo utakuwa ni kilaza tu kama vile fisadi Lowasa, hivyo nasubiri uweke kifungu kilichovunjwa !

Katiba CCM?
 
Lowassa amejaliwa akili sana kitu kinachomtofautisha na wengine wengi....

Ni kweli Magufuli hana vision ndio maana ameanza kufifia!!!
Kweli hata mimi naona EL anayo akili sana, kupinga kubadilishwa matumizi ya fedha za sherehe kwa ujenzi wa barabara, na JPM hana vision kwa kubadili matumizi ya fedha za sherehe kwa ujenzi wa barabara. Hii ndio Tz, ama kweli naamini huwezi kupanda Mchicha ukavuna mahindi
 
Unaelewa vision maana yake nini?
 
Magufuli namkubali kwa hatua nyingi anazochukua ila hili la yeye kuwa ndie bunge,ndie hazina ni tatizo ,
Hizi sherehe za kuazimisha siku muhimu kwenye taifa hili zina maana yake , hata kama ni kubana matumizi ziadhimishwe kwa kupunguza matumizi sio kuacha kuadhimisha kabisa
 
Lowassa anajaribu kuwarudisha CHADEMA kundini... Anaongea pumba tupu... Yeye kama ataki watu wa Mwanza wajengewe barabara aseme tunajua ana chuki na wasukuma sababu walimwonyesha misimamo yao,,, alitaka hizo hela zikanunulie kofia na kukodisha ngoma hiyo ndio vision au kwake kupunguza msongamano kwenye barabara kwa kuzipanua sio vision?

Hiyo pesa zilishaidhinishwa na bunge alichofanya Magufuli ni kubadili tu matumizi tena kwa mema sio kwa ubaya vision imekosekana wapi hapo.. Fisadi mwizi mkubwa ebu atupishe tujenge nchi yeye alijua kuiba tu.
Nadhani hujaielewa mada sababu ya mahaba makubwa ya ukabila,
 
Akili za samaki hehehehe ubongo jiwe
 
hiv watu wengine mnapochangia thread za wenzenuu bila kutunganaa hamuweziii??? busara ni kitu cha msingi sanaa jamanii hiv kwelii hilii jukwaa ni la kuchangia kwa matusii??? si bora ukachangie kwenye thread za udakuu jiheshimuni jamanii
 
Nadhani hujaielewa mada sababu ya mahaba makubwa ya ukabila,
Wala sio ukabila ni fact.. Lowassa anachukia wasukuma sababu pesa yake walikula na urais wakamnyima.. Iweje kusikia barabara ya Mwanza ndio inayojengwa ndio atoe tamko!
 
L
Politically, Lowassa is finished!

Mwambieni Ng'ombe wake wanamuhitaji zaidi ya siasa inavyomuhitaji!

The political game is over!

Kwa sasa amebakiwa na vision ya wizi na usanii aliyowekeza ambayo ndiyo inamuweka Jijini Dar.
Lowassa ndio kiongozi bora mwenyewe maono ya mbali katika nchi hii
 
U
Hana credibility ya kuzungumzia maamuzi ya raisi ambayo yameleta tija kwenye miundombinu....alisema Dr.Slaa Kinyesi kimehamia chumbani harufu lazima...yule angekuwa Raisi tungeanguka kabisa...hana uwezo...kwa sasa ngoja atumbuwe ruzuku ya chadema ambayo siku hizi mikutano inafanyika hoteli za nyota 5!
Unataka ufanyike Nyumba ni kwako mkuu
 
Ujue Lowasa mimi huwa namuona kama hajitambui vile sijui nani kamroga anaongea pumba tupu yani hajui hata pesa ipi inatakiwa kuidhinishwa na bunge na pesa gani ipo kwenye mamlaka ya Rais,mtu mzima hovyo kabisa.
Baadae ya buku 7 unakunyemelea ukuu wa wilaya endelea tu
 
Magufuli namkubali kwa hatua nyingi anazochukua ila hili la yeye kuwa ndie bunge,ndie hazina ni tatizo ,
Hizi sherehe za kuazimisha siku muhimu kwenye taifa hili zina maana yake , hata kama ni kubana matumizi ziadhimishwe kwa kupunguza matumizi sio kuacha kuadhimisha kabisa

Kwani hazikuadhimishwa? Halafu isitoshe hizi sherehe hazijafutwa bali zimebadilishwa jinsi ya kuziadhimisha kwa mwaka huu!
Hivi ngoja nikuulize kwa miaka karibia 50 tunasherehekea hizi sherehe kwa magwaride na dhifa mbali mbali kuna tatizo gani kama tusipofanya hivyo kwa mwaka huu au hata miwili 3 ijayo badala yake tutumie hizo fedha kwenye mambo ambayo tunayahitaji zaidi kama huduma ya afya, Elimu au mambo mengine? Ni kipi kitabadilika?
 
Lowassa anapinga bilioni 2 za sherehe za Muungano kujenga barabara, badala yake alitaka watu wakaserebuke na kuzitumbua hizo fedha.

Hayo ndiyo maneno ya mtu aliyetaka kuleta mabadiliko TZ!

- Amlalamikia Rais Magufuli kugawa fedha kwa shughuli mbalimbali wakati chombo chenye mamlaka kugawa fedha kipo ambacho ni bunge.(Pesa za uhuru na Pesa za Muungano)

- Asikitishwa na uachishwaji wa kazi kwa wafanyakazi, asema hali ngumu ya uendeshaji wa mashirika hayo ndio usababisha utendaji hafifu.
Lowassa hajitambui bora aendelee kuzungusha mikono tu

- Asononeshwa na hali ngumu ya maisha mtaani.

- Asikitishwa na ushukaji wa huduma ya Bandari kushuka kwa asilimia 50 na kusababisha vijana wengi kusota mtaani.

- Kitendo cha wahisani kujitoa kuisaidia nchi asema n i pigo kubwa kwetu kwa mustakabali wa uchumi wa nchi.

- Asema si kweli kwamba uongozi wa Rais mstaafu Kikwetu kila mtu alikuwa mla rushwa, ni kweli mfumo ule ulikuwa mbovu na wa kifisadi.
 
Weka hicho kifungu cha Katiba kinachomnyima Raisi huwo uwezo, ili tuone ni kama Raisi kavunja Katiba au la, uweke kweli hicho kifungu kinyume na hapo utakuwa ni kilaza tu kama vile fisadi Lowasa, hivyo nasubiri uweke kifungu kilichovunjwa !

Mkuu
Inaelekea Mtiifu Mh Lowassa anakunyima amani kwenye Utu wako au familia yako..
Utakufa nakinyongo/chuki zako..neno/jina LOWASSA ATABAKIA DAIMA
 
Usitegemee hata siku moja lowasa akazungumzia mazuri ya magufuli yeye kazi yake ni kukosoa ili ajijenge
Na wanaoacha kazi ni wale amabo waliajiliwa kwa malengo yao binafi sio kutumikia wananachi na bado hata wabunge wengine lowasa ategemee wataachia ngazi sio wafanyakazi pekee
 
Back
Top Bottom