iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Ukitaka kushangaa,kashangae feri.
Prof Lipumba aliitosa UKAWA wakati ikielekea kwenye uchaguzi na kutoa shutuma tele kwa mgombea wake wa urais,bwana Edward Lowasa, akaondoka kaenda zake huko anakokujua, ni wazi,jogoo hafi kwa utitiri,UKAWA chini ya Lowasa wakapiga kampeni nzito sana iliyowawezesha kupata wabunge wengi na madiwani wengi sana,pia hata kura zao za Urais zilikuwa nyingi sana.
Ni wazi CUF kama mashirika wa UKAWA ruzuku yao iliongezeka maradufu.
Cha ajabu huyu Profesa(kama ni kweli ni Profesa) sasa anaipenda ruzuku iliyotengenezwa na UKAWA chini ya Lowasa, na anapigana kabisa kwa njia zote ruzuku hiyo ije kwake
Sasa kama mchakato uliofanya ruzuku ipatikane hukuukubali,kwa nini ruzuku iwe tamu?
Mtu aliyefikia ngazi ya uprofesa,je haoni aibu hata ile ya kawaida kujidhalilisha kiasi hicho?
Familia yake (mkewe na watoto)wanamuonaje?
Jumuiya ya wasomi na wachambuzi wenziye ndani na nje ya nchi wanamuonaje ?
Je hasomi upepo kwa akina Yahya Jammeh?
Nadhani Lipumba ajitafakari sana kama kweli bado ana chembe ya usomi (angalau)kama umebakia)