Edward Lowasa na Mustakabali wa Taifa

quote_icon.png
By bucho
Hakuna kiongozi imara,mfanyakazi hodari kama lowassa. Amefanya mambo mengi makubwa mazuri ambayo hakuna kiongozi wa sasa hivi anayeweza kufanya. Pili sio muoga kuamua jambo kwa manufaa ya hii nchi hata kama jambo ni gumu kiasi gani lowassa analitatua. Wote wanaompinga wana chuki za kisiasa.
NA HUYU NDIO RAISI WETU TANGANYIKA INAYOMUHITAJI KWA SASA.

TEAM LOWASSA 2015.

Amesimamia ujenz wa shule za sekondari nchini..alhakksha hstoria ya shda ya maji katka mikoa ya kanda ya ziwa kama mwanza,geita na shnyanga ina futka kwa kupambana na serkali ya misri na kufanikiwa kuvuta maji toka ziwa vctoria kusambaza katka mikoa hii kwa kauli yake ninayoikumbuka"ZIWA NI LETU MISRI INASEMA NI MALI YAO HATUKUBALI WANANCHI WAPATE SHDA YA MAJI NA SISI NDIO WENYE CHANZO CHA MAJI" adi kupelekea msri kutaka kuvunja uhusiano na tz kama wanavyotka kuitshi ethiopia ambao nao wamepata majasri kama lowasa wanataka kuvuta maji ya mabawa ya umwagiliaji mto nile msri inawatsha...ma presdent is lowasa 12015
 
quote_icon.png

By bucho
Hakuna kiongozi imara,mfanyakazi hodari kama lowassa. Amefanya mambo mengi makubwa mazuri ambayo hakuna kiongozi wa sasa hivi anayeweza kufanya. Pili sio muoga kuamua jambo kwa manufaa ya hii nchi hata kama jambo ni gumu kiasi gani lowassa analitatua. Wote wanaompinga wana chuki za kisiasa.
NA HUYU NDIO RAISI WETU TANGANYIKA INAYOMUHITAJI KWA SASA.

TEAM LOWASSA 2015.

Amesimamia ujenz wa shule za sekondari nchini..alhakksha hstoria ya shda ya maji katka mikoa ya kanda ya ziwa kama mwanza,geita na shnyanga ina futka kwa kupambana na serkali ya misri na kufanikiwa kuvuta maji toka ziwa vctoria kusambaza katka mikoa hii kwa kauli yake ninayoikumbuka"ZIWA NI LETU MISRI INASEMA NI MALI YAO HATUKUBALI WANANCHI WAPATE SHDA YA MAJI NA SISI NDIO WENYE CHANZO CHA MAJI" adi kupelekea msri kutaka kuvunja uhusiano na tz kama wanavyotka kuitshi ethiopia ambao nao wamepata majasri kama lowasa wanataka kuvuta maji ya mabawa ya umwagiliaji mto nile msri inawatsha...ma presdent is lowasa 2015
 
Mimi Baada ya Kugundua unafiki wa viongozi wa Makanisa , NILISHAACHA KITAAMBO SANA KUHUDHURIA HIZO MISA ZAO ! Lowasa ni Fisadi hilo halina ubishi , sasa kumkumbatia mtu huyu , iwe ni Pengo , Malasusa , Kakobe au Young Tanzanian si tu kwamba ni makosa bali pia ni Kejeli kubwa sana kwa waTanzania ! Lowasa si Mwaminifu , sasa kushirikiana na Jk kwenye Richmond hakumaanishi kwamba yeye ni msafi .
 
By Ston Merchant ; Hapo kwenye red naomba unipe mifano michache...

Amesimamia ujenz wa shule za sekondari nchini..alhakksha hstoria ya shda ya maji katka mikoa ya kanda ya ziwa kama mwanza,geita na shnyanga ina futka kwa kupambana na serkali ya misri na kufanikiwa kuvuta maji toka ziwa vctoria kusambaza katka mikoa hii kwa kauli yake ninayoikumbuka"ZIWA NI LETU MISRI INASEMA NI MALI YAO HATUKUBALI WANANCHI WAPATE SHDA YA MAJI NA SISI NDIO WENYE CHANZO CHA MAJI" adi kupelekea msri kutaka kuvunja uhusiano na tz kama wanavyotka kuitshi ethiopia ambao nao wamepata majasri kama lowasa wanataka kuvuta maji ya mabawa ya umwagiliaji mto nile msri inawatsha...ma presdent is lowasa 2015
 
Kwani ukijiuzuru ni kosa? Mbona Mzee Mwinyi alifanya hy wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani na baadaye akawa Rais, Pia mh Mrema aliwahi kufanya hvy akiwa usalama wa Taifa na baaye akawa Waziri wa mambo ya ndani mwenye ufanisi mkubwa tuu..Mwacheni lowasa atimize ndoto yake na Urais ni mchakato kama atafanikiwa ni vema na kama hatafanikiwa basi tutamshukuru kwa kutoa michango yake ya hali na mali ktk Taifa letu.
 
Hakuna kiongozi imara,mfanyakazi hodari kama lowassa. Amefanya mambo mengi makubwa mazuri ambayo hakuna kiongozi wa sasa hivi anayeweza kufanya. Pili sio muoga kuamua jambo kwa manufaa ya hii nchi hata kama jambo ni gumu kiasi gani lowassa analitatua. Wote wanaompinga wana chuki za kisiasa.
NA HUYU NDIO RAISI WETU TANGANYIKA INAYOMUHITAJI KWA SASA.

TEAM LOWASSA 2015.

Acha unafiki mkubwa nyie wadanganyika, Lowassa kafanya nini , mbona wizi hamuusemi kwamba ni mwizi aliyekubuhu,
kwani vionozi wote wasafi wamekufa mpaka tumchague Lowassa,
John Pombe Magufuri mbaona hamumtaji ambaye ameonyesha uchapakazi , bado mnagangana na Fisadi , Gamba
 
Back
Top Bottom