Jo Assistant
Senior Member
- Jun 20, 2014
- 195
- 202
Mkuu tofautisha elimu na akili basi.Hivi kwa ugumu na changamoto za maisha ya siku hizi Elimu unawezaje kuilinganisha na kitu chochote (kwa mfano). Ukiwa na elimu angalau hata kama umekwama unajua wapi umekwama na kuna uwezekano mkubwa ukajinasua kuliko asiye na elimu. Kuhusu pesa ni sula la muda na fursa tu!
Tofautisha pia elimu na maarifa. Tunategemea aliyepata fursa ya elimu amepata na maarifa kumbe sio kweliMkuu tofautisha elimu na akili basi.
Kwa jinsi watumishi wanavyokimbilia kukopa kwenye vitaasisi ambavyo vimeanzishwa na wasio na elimu. I OPPOSE THE MOTION.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata mkuu...Hivi kwa ugumu na changamoto za maisha ya siku hizi Elimu unawezaje kuilinganisha na kitu chochote (kwa mfano). Ukiwa na elimu angalau hata kama umekwama unajua wapi umekwama na kuna uwezekano mkubwa ukajinasua kuliko asiye na elimu. Kuhusu pesa ni sula la muda na fursa tu!
Hujui utamu wa njaa wewe, elimu ni cheti tu sikuhizi.Hivi kwa ugumu na changamoto za maisha ya siku hizi Elimu unawezaje kuilinganisha na kitu chochote (kwa mfano). Ukiwa na elimu angalau hata kama umekwama unajua wapi umekwama na kuna uwezekano mkubwa ukajinasua kuliko asiye na elimu. Kuhusu pesa ni sula la muda na fursa tu!
Imekuwaje mdau? (What made you change your mind?)10 yrs before ninge propose ila kwa sasa nina oppose hii kitu tena kwa nguvu, sala na jitihada zote
Thanks for the point!Mkuu tofautisha elimu na akili basi.
Kwa jinsi watumishi wanavyokimbilia kukopa kwenye vitaasisi ambavyo vimeanzishwa na wasio na elimu. I OPPOSE THE MOTION.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa na huku upo pia kumbe...wacha kufananisha pesa na vitu vya kipumbafu!
Nakubali...pesa haiwezi kum-disappoint mtu ila elimu inaweza kum-disappoint mtu.
Tumeshakuelewa kaka...Nilikataa kabisa hii motion "elimu ni bora kuliko pesa" nilishindwa na kuonekana popoma kwa sababu wengi walikubali
Leo hii napiga Kofi kifuani huku nikisema nashukuru sikukubali kuwa upande wa waseng*e
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli.I support the motion
Bila elimu nisingekuwa mahali nilipo kwa sasa.