Education information (TURKEY SCHORLASHIP)

kokaumba

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
394
174
Wana jamvi naomba msaada ikiwa kuna yeyote aliyeomba hizi scholarship za Turkey. Tatizo langu ni katika kipengele cha education information ambapo nimejaza kila kitu lakini system inaniambia nimebakisha item moja... Nimejaza kila kipengele....naombeni uzoefu wenu tafdahali...deadline n tr 20/02
 
Scale za matokeo ndio kwenye shida mzee,badilisha scale... alafu jaza chochote uone... itakavyokubali
 
Wana jamvi naomba msaada ikiwa kuna yeyote aliyeomba hizi scholarship za Turkey. Tatizo langu ni katika kipengele cha education information ambapo nimejaza kila kitu lakini system inaniambia nimebakisha item moja... Nimejaza kila kipengele....naombeni uzoefu wenu tafdahali...deadline n tr 20/02
Mkuu hata mimi nimekutana na hii changamoto!ukiweka grading system division hata ukishajaza kila filed zote inakwambia kuna sehemu moja unatakiwa kujaza!!Hapo inabidi ubadili grading system uweke nyengine then upload tu cheti cha form 4 n 6 watajiongeza wenyewe!
kama unaomba masters au PhD cheti cha chuo ndo watakachokiangalia sana.
 
Wewe umeweka IPI mkuu
 
Aisee bachelor degree information inakataa kuniletea options.. Dah inaishia kwenye nchi na city
 
Back
Top Bottom