Edo afunga comment baada ya raia "kusala"

Sheikh23

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,128
1,842
Wanajamvi habari,baada ya mteule huyu wa Mwigulu Nchemba mwenye jukumu la kuhamasisha watanzania wanyonge kulipa kodi kwa hiari kupost jokes,wanyonge wamemuelewa tofauti hali iliyopelekea kufunga comments kwenye post hiyo...raia hawataki jokes
Screenshot_20210623-205525_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom