Edit posti yako uloanzisha watu wasiulize maswali mengi...

mbongopopo

JF-Expert Member
Jan 24, 2008
1,611
759
eti mnaonaje
saa zingine mtu unaingia humu unakuta thread ina replies nyingi

kama wengine tusio na muda kama mimi vigumu kusoma zote(kila posti) au kuona kama mwanzishaji kaongeza majibu ambayo anaulizwa

mie naona vizuri kama unaona wengi wanauliza basi nenda edit orijino post ongeza ma sentesi ili wengine wasiulize tena

au?
 
Ni kweli ila utawanyima fursa ya kuchangia wale watakaokuwa wamechelewa kuona post ya mwanzo kabla haijaeditiwa.
 
Back
Top Bottom