Haujui kitu mkuu 😁😂Ed Sheeran = Lionel Messi
The Weekend = Ramadhani Singano
Tatizo vijana wanasikiliza singeli hawa


Kabisa kaka hapo ongezea na Sabrina carpenter Hawa washazoea kusikiliza bongo flava na singeliNdo maana ukiwatajia akina Sia, Katy na Taylor wanabaki wanatoa macho![]()
Kabisa kaka hapo ongezea na Sabrina carpenter Hawa washazoea kusikiliza bongo flava na singeli

Anajua sana yule mtoto Ngoma yake ya espresso haijatoka bilibodi 100 ipo nafasi ya kwanza badoDah Sabrina huu mwaka wa kwake, Please Please Please ya moto sana![]()
Hadi mimiNina album za the weeknd, sina album ya ed sheran...
Na mwaka hu pia 😎Huyo jamaa hajui mziki, the weekend ndio most viewed artist in this planes as per Guinness world records mwaka huu... Canadian singer The Weeknd is the artist with the highest recorded number of monthly listeners (112.78 million) wakat ed sheran ana million 77 tu... Abel ni hatari sana ukichangia kuwa ni mweusi na ni mtoto wa baba(immigrant) wa kihabesh mzee hatari sana
we kweli ni mnyamwezi, karanga nyingi 😂Ongezea na za Kalubandika....😅😅😅
Huku unashushia michembe wakati unasubiri nswalu na nsansa.
Karanga ndio habari ya mjini, ndani ya chungu kudadadeki 😂Zimewekwa karanga au maziwa?