Kwa mtutu wa polisi na bunduki siyo amani!Amani itakuwepo tu!
Kwa mtutu wa polisi na bunduki siyo amani!Amani itakuwepo tu!
Amani tu. ..Bye-byeKwa mtutu wa polisi na bunduki siyo amani!
Hakuna kitu hapa, mimi Kagame mnanijua, magufuli ndio huyo, uhuru hamjasoma? Achilia mbali Yoweri, Kiri na MburundiHii kitu waliyofanya ECOWAS kuhusu Gambia na Jammeh yaweza kuwa dawa sahihi kwa ving'anizi wa madaraka. Hivi EAC yaweza thubutu kukaa nakufikiri hatua kama hii?
Wajumbe wake ni hawa wafuatao:
- John Pombe Magufuli wa Tanzania
- Ali Mohamed Shein wa Zanzibar (bila kujali ni nchi au sio nchi)
- Uhuru Kenyata wa Kenya
- Yoweri Mseven wa Uganda
- Paul Kagame wa Rwanda
- Piere Nkurunziza wa Burundi
- Salvakil Muruzi wa South Sudan
- Lakini kuna na jirani yetu Joseph Kabia wa DRC
Hamna chochoteDaaah!!!! hapo labda Uhuru bado kidogo!!!!!!